Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editora: Podcast
  • Duração: 108:24:34
  • Mais informações

Informações:

Sinopse

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episódios

  • Taarifa ya Habari 19 Novemba 2024

    19/11/2024 Duração: 18min

    Ripoti kuhusu mshikamano wakijamii imepata, kuna mitazamo michache chanya, kwa dini kote jimboni katika makundi yote makubwa ya imani.

  • Elewa sheria za chanjo za watoto nchini Australia

    19/11/2024 Duração: 14min

    Kuhakikisha mtoto wako anachanjwa humlinda, na inafaida kwa kila mtu wa karibu yake, wataalam wamesema.

  • Taarifa ya Habari 15 Novemba 2024

    15/11/2024 Duração: 19min

    Australia ime unga mkono azimio la Umoja wa Mataifa, lakutambua mamlaka yakudumu ya watu wa Palestina kwa mara ya kwanza katika miongo mbili.

  • Jinsi yakupata akaunti ya benki inayo kufaa

    15/11/2024 Duração: 11min

    Kama una kazi, unapokea mafao ya serikali au unataka lipa bili zako kwa urahisi, utahitaji akaunti ya benki. Unaweza hitaji hata zaidi ya akaunti moja.

  • Barua ya marekebisho ya katiba yawasilishwa Bungeni DRC

    15/11/2024 Duração: 07min

    Bunge la DRC limepokea barua ya kukagua muda wa muhula wa rais na mageuzi ya mahakama ya Kongo.

  • Taarifa ya Habari 12 Novemba 2024

    12/11/2024 Duração: 16min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese ametoa pongezi kwa mkongwe wa vita vya Vietnam Richard Norden, ambaye amepewa tuzo baada ya kufa ya ngazi ya juu zaidi ya jeshi la Australia ya Victoria Cross.

  • Dj Mozz "Nataka kipaji changu kinifikishe katika tamasha zakimataifa"

    12/11/2024 Duração: 13min

    Dj Mozz ni mmoja wa vijana, wenye jina kubwa katika sekta ya burudani nchini Australia.

  • Taarifa ya Habari 8 Novemba 2024

    08/11/2024 Duração: 19min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese ame sisitiza umuhimu wakutetea demokrasia katika hotuba yake, kwenye kongamano la wabunge wa jumuiya yamadola.

  • Harris au Trump? wamarekani watoa hukumu yao

    05/11/2024 Duração: 09min

    Takwimu kutoka tume ya uchaguzi ya Marekani, zina onesha watu wengi zaidi wame piga kura mwaka huu 3wa 2024 kuliko katika chaguzi zingine katika historia ya nchi hiyo.

  • Taarifa ya Habari 5 Novemba 2024

    05/11/2024 Duração: 19min

    Wanaharakati wa Mataifa ya Kwanza wana muhamasisha Kiongozi wa Queensland David Crisafulli, abatilishe uamuzi wake wakufuta uchunguzi wakusema ukweli na uponyaji.

  • Matt "tunataka mifumo ya kupata huduma irahisishwe"

    05/11/2024 Duração: 04min

    Viongozi wa makundi mbalimbali yawa Kenya wanao ishi mjini Sydney, Australia wanajiandaa kukutana nawa bunge nama seneta kutoka Kenya.

  • Taarifa ya habari 4 Novemba 2024

    04/11/2024 Duração: 07min

    Chama cha Greens kina omba serikali ya shirikisho ilete mipango yake mbele yaku kata deni la wanafunzi kwa asilimia 20 kwa idadi yawa Australia milioni tatu, hatua ambayo itafuta zaidi ya deni ya wanafunzi yenye thamani ya dola bilioni 16.

  • Bw Prosper "uzoefu wetu wa ukimbizi hauja ondoa utu wetu"

    03/11/2024 Duração: 12min

    Australia ni nyumbani kwa ma milioni ya watu kutoka mazingira mbali mbali, walio wahi kuwa wakimbizi wakijumuishwa.

  • Taarifa ya Habari 1 Novemba 2024

    01/11/2024 Duração: 17min

    Serikali imethibitisha kuwa inashikilia mafao ya Medicare ambayo hayaja daiwa yenye thamani yama milioni ya dola, kwa sababu wagonjwa hawajatoa taarifa zao za benki ili wapokee hela hizo.

  • Jinsi yakujenga nyumba yako nchini Australia

    01/11/2024 Duração: 10min

    Kujenga nyumba Australia ni ndoto ya wengi ila, hatua muhimu zakufanikisha hili ni gani?

  • Taarifa ya Habari 29 Oktoba 2024

    29/10/2024 Duração: 19min

    Faini kwa watoa huduma wa NDIS wasio waaaminifu zita ongezeka kutoka $400,000 hadi zaidi ya $15 milioni, chini ya kanuni mpya zilizo zinduliwa na Bill Shorten jana Jumatatu 28 Oktoba 2024.

  • Ben & Chance "tangu tuanze kufanya kazi ya Mungu pamoja maisha yamezidi kuwa mazuri"

    25/10/2024 Duração: 06min

    Umaarufu wa wasanii wa injili Ben & Chance, una endelea kuongezeka kila uchao nchini Rwanda na kimataifa.

  • Prof Chacha"nchi za Afrika zinastahili tambua jumuiya yaki mataifa hai ongelei tena maswala yao"

    25/10/2024 Duração: 07min

    Nchi kadhaa barani Afrika zina endelea kukabiliana na vita vya wenyewe kwa wenyewe.

  • Taarifa ya Habari 25 Oktoba 2024

    25/10/2024 Duração: 20min

    Viongozi wa kanda ya Pasifiki wame ikosoa Australia katika mkutano wa viongozi wa jumuiya zama dola nchini Samoa, kwa kufeli kuchukua hatua ya ziada kwa mabadiliko ya hali ya hewa.

  • Michael" viongozi wetu wanaweza fanya kazi kwa kasi wakitaka"

    23/10/2024 Duração: 17min

    Siasa ya Kenya imetikiswa kwa kura ya kihistoria ndani ya Seneti iliyo sababisha Naibu Rais Rigathi Gachagua kubanduliwa mamlakani.

página 3 de 26