Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 108:24:34
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episódios
-
Taarifa ya Habari 17 Januari 2025
17/01/2025 Duração: 16minKupandishwa cheo kwa wanasiasa wanne wa kike ndani ya baraza la mawaziri wa waziri mkuu, kume fufua mjadala kuhusu uwakilishi wa wanawake ndani ya upinzani wa mseto.
-
Ongezeko ya karo ya shule yafanya familia zi hisi shinikizo
17/01/2025 Duração: 06minKuna salia wiki chache kwa mwaka wa shule wa 2025 kuanza, janga la gharama ya maisha lina endelea kuweka shinikizo kwa familia zinazo lipa karo ya shule.
-
Bensoul "kuwa mwandishi wa nyimbo iliyo shinda grammy imenifungulia milango mingi"
15/01/2025 Duração: 18minNyota ya Bensoul katika sanaa ina zidi kung'aa kila kukicha.
-
Taarifa ya Habari 14 Januari 2025
14/01/2025 Duração: 19minWaziri Mkuu Anthony Albanese amefanya mkutano wake wa kwanza wa 2025 na baraza lake la mawaziri.
-
Lissu "hatuwezi tegemea kipya kutoka kiongozi ambaye ameongoza kwa miaka 21"
10/01/2025 Duração: 07minMgombea wa wadhifa wa uongozi wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA nchini Tanzania, amefunguka kuhusu sababu zake zaku wania wadhifa huo.
-
Taarifa ya Habari 10 Januari 2025
10/01/2025 Duração: 18minUchaguzi mkuu ujao wa shirikisho una chukua mkondo wakuwa shindano la gharama ya maisha ila, hakuna chama kikubwa ambacho kime toa ahadi kubwa za matumizi kwa ajili yakuwavutia wapiga kura.
-
Wakenya wafunguka kuhusu visa vya utekaji nyara
09/01/2025 Duração: 30minVyombo vya usalama nchini Kenya vina endelea kushtumiwa kwa visa vya utekaji nyara.
-
Taarifa ya Habari 7 Januari 2025
07/01/2025 Duração: 17minWakaaji wa Queensland wame hamasishwa wachukue chanjo zinazo tolewa bure, jimbo hilo likitabiri msimu mubaya wa mafua uko njiani.
-
Mwongozo rahisi waku kusaidia kufurahia msimu wa Cricket nchini Australia
07/01/2025 Duração: 12minCricket ni mchezo maarufu sana Australia na, kwa muda mrefu mchezo huo umekuwa sehemu ya utamaduni wa Australia haswa wakati wa miezi ya majira ya joto.
-
Taarifa ya Habari 3 Januari 2025
03/01/2025 Duração: 18minKufanya mfumo wa afya upatikane kwa bei nafuu itakuwa sehemu kubwa ya kampeni ya uchaguzi mkuu ya chama cha Labor, waziri wa afya washirikisho aki ahidi kuimarisha Medicare miongoni mwa hatua zingine kabla ya mwanzo wa kampeni.
-
Je uchaguzi wa uongozi uta sababisha mpasuko ndani ya CHADEMA
03/01/2025 Duração: 08minWanachama wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA, wanasalia na takriban wiki mbili kuingia debeni kumchagua kiongozi mpya.
-
Taarifa ya Habari 31 Disemba 2024
31/12/2024 Duração: 20minKikundi cha magari cha N-R-M-A kina omba tume ya ushindani na watumiaji ya Australia, ifanye uchunguzi wa haraka kwa madhara mabaya ya mizunguko ya bei bei ya petroli katika miji mikubwa ya Australia.
-
Levi "Wazazi wasi harakishe kuwatuma watoto ng'ambo kabla hawaja komaa"
31/12/2024 Duração: 20minWazazi wengi huwa na ndoto za kuwatuma watoto wao ng'ambo kufanya elimu ya juu.
-
Taarifa ya habari 27 Disemba 2024
27/12/2024 Duração: 16minMabadiliko mazuri ya hali ya hewa yame saidia juhudi za wazima moto wanao kabiliana na moto ambao haukuwa ukidhibitika katika maeneo ya Grampians jimboni Victoria, baada ya hali mbaya zaidi ya hali ya hewa kwa moto wa vichaka tangu tukio la Black Summer la 2019.
-
Jeshi la polisi la Kenya lakanusha kuhusika na utekaji wa wakosoaji wa serikali
27/12/2024 Duração: 08minJeshi la polisi Kenya limekanusha kuhusika na visa vya karibuni vya utekaji unaowalenga wakosoaji wa serikali. Watu 74 walitekwa tangu maandamano ya kuipinga serikali, huku 26 wakiwa bado hawajulikani waliko.
-
Understanding Indigenous knowledge of weather and seasons - Kuelewa maarifa ya hali ya hewa na misimu yawatu wa asili
27/12/2024 Duração: 10minYou’re probably familiar with the four seasons—Summer, Autumn, Winter, and Spring—but did you know that First Nations people have long recognised many more? Depending on the location, some Indigenous groups observe up to six distinct seasons each year. - Pengine unafahamu misimu minne- Majira ya joto, vuli, majira ya baridi na masika ila, unafahamu kuwa watu wa Mataifa ya Kwanza wame tambua misimu mingine mingi kwa muda mrefu? kutegemea na sehemu, baadhi ya vikundi vya watu wa asili, hushuhudia takriban misimu sita tofauti kila mwaka.
-
Taarifa ya Habari 26 Disemba 2024
27/12/2024 Duração: 06minMamlaka wa Urusi na Australia wachunguza ripoti kuwa, raia wa Australia amekamatwa akipigania Ukraine.
-
Taarifa ya Habari 24 Disemba 2024
24/12/2024 Duração: 19minWaziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali tathmini ya upinzani kuwa amefeli kwa swala la uhamiaji, wakati ripoti za mihadarati kama heroin, methamphetamine na fentanyl kuingia katika vizuizi vya uhamiaji vya Australia.
-
Wangeci "nilikuwa mkali sana katika mawasiliano yetu ya kwanza"
24/12/2024 Duração: 17minJe, unakumbuka ulipo mwona mpenzi wako mara ya kwanza? alikupokea ulivyo tarajia, au ilibidi uboreshe mstari yako kabla ujaribu tena?
-
Kuelewa maarifa ya wa Australia wa Kwanza kuhusu hali ya hewa na misimu
22/12/2024 Duração: 11minPengine unafahamu misimu minne- Majira ya joto, vuli, majira ya baridi na masika ila, unafahamu kuwa watu wa Mataifa ya Kwanza wame tambua misimu mingine mingi kwa muda mrefu?