Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 108:24:34
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episódios
-
Kauli ya mwanae Museveni yazua kero kwa majirani Sudan na DRC
20/12/2024 Duração: 06minSerikali ya Sudan inaitaka Uganda iombe rasmi msamaha, kutokana na kile imekitaja kuwa ujumbe wa kuchukiza na hatari ulioandikwa na mkuu wa jeshi la Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba, aliyetishia kuivamia Khartoum kijeshi.
-
Bw Chumba "tukishikana mikono itatupa urahisi kufanya vitu vikubwa pamoja"
20/12/2024 Duração: 08minViongozi wa Jumuiya yawa Kalenjin wanao ishi New South Wales wanajiandaa kuwasilisha vyeti vya usajili wa Jumuiya kwa wanachama wao jioni ya Ijumaa 20 Disemba 2024.
-
Taarifa ya Habari 20 Disemba 2024
20/12/2024 Duração: 18minEneo la kusini mashariki Queensland, lina jiandaa kukaribisha afueni ya hali ya hewa baada ya dhoruba kusababisha barabara kufungwa, umeme kupotea na mafuriko.
-
Mchungaji Mgogo "tunza ujana wako kwa ajili ya future yako"
20/12/2024 Duração: 14minMchungaji Daniel Mgogo ni maarufu sana katika mitandao yakijamii, kwa jinsi anavyo huburi.
-
Taarifa ya Habari 17 Disemba 2024
17/12/2024 Duração: 20minMawaziri wa kigeni na ulinzi wa Uingereza na Australia wamefanya mkutano wao wa kila mwaka ((AUKMIN)) mjini London ambako amekubali kuimarisha zaidi ushirikiano kwa ulinzi, biashara na sera yakigeni.
-
Mahakama yazima ndoto ya Edgar Lungu
13/12/2024 Duração: 07minMahakama ya katiba ya Zambia imesikiza ombi la Rais mstaafu wa Zambia, Edgar Chagwa Lungu lakupewa ruhusa yakuwania urais wa taifa hilo.
-
Taarifa ya Habari 13 Disemba 2024
13/12/2024 Duração: 22minSerikali ya Albanese imetangaza mfumo mpya waku lazimisha mitandao yakidigitali yakufidia vyombo vya utangazaji vya Australia kwa matumizi ya habari zao.
-
Kuelewa uhusiano wa kina wa Mataifa ya Kwanza na ardhi
10/12/2024 Duração: 08minArdhi ina umuhimu mkubwa wa kiroho kwa wa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait, iliyo unganishwa kwa ustadi na utambulisho wao, kuwa sehemu na hali yao ya maisha.
-
Taarifa ya Habari 10 Disemba 2024
10/12/2024 Duração: 16minWaziri wa Huduma za Serikali Bill Shorten ametangaza kuwa shirika la Services Australia, lime tekeleza karibu nusu ya mapendekezo yote kutoka Tume yakifalme kwa mfumo usio halali wa Robodebt.
-
Kiongozi wa Queensland atetea mabadiliko ya haki ya vijana yenye misimamo mikali
06/12/2024 Duração: 06minKiongozi wa Queensland na Mwanasheria Mkuu wame tetea mageuzi ya haki ya vijana yenye utata ya jimbo hilo, licha ya ukosoaji kutoka wadau na Umoja wa Mataifa.
-
Taarifa ya Habari 6 Disemba 2024
06/12/2024 Duração: 21minKura mpya ya maoni inadokeza kiongozi wa upinzani Peter Dutton, ana elekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu ujao.
-
Australia yabadilisha msimamo wa miaka 20 kwa uvamizi wa Israel katika maeneo ya Palestine
06/12/2024 Duração: 06minAustralia imebadilisha msimamo wayo kwa azimio la Umoja wa Mataifa, linalo taka Israel isitishe kukalia kwa mabavu maeneo ya wapalestina.
-
Mh JP Mwirigi "ili nchi ipate heshima yake, kuna miundombinu lazima ijenge"
03/12/2024 Duração: 13minMaamuzi ya utoaji wa kandarasi ya ukarabati ya baadhi ya miundombinu, yame iweka serikali ya Kenya chini ya shinikizo kubwa hivi karibuni.
-
Taarifa ya Habari 3 Disemba 2024
03/12/2024 Duração: 19minUmoja wa Mataifa ume ongeza sauti yake kwa wimbi la ukosoaji dhidi ya sheria mpya za Queensland, shirika hilo limesema sheria hiyo inaonesha "kupuuza kwa wazi" kwa hazi za watoto.
-
Kuelewa jinsi maduka ya dawa yanavyo fanya kazi Australia
03/12/2024 Duração: 16minNchini Australia, wafamasia hutoa dawa zilizo agizwa nama daktari pamoja na ushauri wa huduma ya afya, kuelimisha jumuiya kuhusu matumizi salama ya dawa na kuzuia ugonjwa.
-
Taarifa ya Habari 29 Novemba 2024
29/11/2024 Duração: 18minWaziri Mkuu amekataa kuweka wazi jinsi mamlaka yaku wafurusha watu katika nchi ya tatu yata tumiwa.
-
Hoja ya mamlaka yatishia mazungumzo yaku unda serikali ya mseto ya Sudan Kusini
29/11/2024 Duração: 07minMazungumzo ya kuunda serikali ya mseto Sudan Kusini, yame kwama baada ya pande husika kuto afikiana kuhusu jinsi wata wagawa mamlaka.
-
Taarifa ya Habari 26 Novemba 2024
26/11/2024 Duração: 15minMchumi mmoja amesema mpango wa usawa wa pamoja waku saidia kununua nyumba wa serikali, hauta leta tofauti kubwa katika soko la nyumba la Australia.
-
Nini hutokea unapo itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi
26/11/2024 Duração: 13minKila raia wa Australia ambaye yuko katika sajili ya kupiga kura, anaweza itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi, hatua inayo julikana pia kama wajibu wa baraza la waamuzi.
-
Mh JP Mwirigi "nili ota nina soma muswada bungeni"
19/11/2024 Duração: 27minMh John Paul Mwirigi ana nafasi yakipekee katika vitabu vya kumbukumbu ya bunge la Kenya.