Sbs Swahili - Sbs Swahili

Makala leo: Hotuba ya Waziri Mkuu yapokewa kwa hisia mseto

Informações:

Sinopse

Hotuba ya kitaifa ya Waziri Mkuu Anthony Albanese kuhusu uchumi unaokabiliwa na matatizo nchini humu, inayosababishwa na mgogoro wa nishati duniani, imepokewa kwa hisia mseto.