Sbs Swahili - Sbs Swahili

Mgogoro wa nishati unaokuja una athari kubwa na kali

Informações:

Sinopse

Shirika la Nishati la Kimataifa linaonya viongozi wa dunia huenda hawathamini, kina cha mgogoro wa nishati unaokaribia, huku vita vya Marekani na Iran vikiendelea.