Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editora: Podcast
  • Duração: 108:24:34
  • Mais informações

Informações:

Sinopse

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episódios

  • Athari za Utalii wa Mataifa ya Kwanza

    23/10/2024 Duração: 13min

    Je, unatafuta uzoefu wakusafiri nchini Australia wenye maana?

  • Taarifa ya Habari 22 Oktoba 2024

    22/10/2024 Duração: 19min

    Mfalme Charles na Malkia Camilla waanza sehemu ya mwisho, ya ziara yao mjini Sydney, katika sehemu ya ziara yakifalme.

  • Steve "Na amini naweza kuwa kiongozi bora"

    22/10/2024 Duração: 12min

    Wanafunzi wa chuo cha ECU mjini Perth wana ingia debeni kuwachagua viongozi wao wapya.

  • Taarifa ya Habari 18 Oktoba 2024

    18/10/2024 Duração: 19min

    Serikali ya Shirikisho ya tetea takwimu zake za utoaji wa ajira milioni moja, wakati upinzani una sisitiza kuwa asilimia kubwa ya ajira hizo zime fadhiliwa na serikali ya shirikisho.

  • Mhe Dkt Kogo "Kwa unyenyekevu hakuna haja yawa Kenya kupewa mitihani ya Kiingereza"

    18/10/2024 Duração: 12min

    Wanafunzi na wahamiaji wengi kutoka Afrika Mashariki haswa Kenya, wame kuwa waki kabiliwa kwa changamoto yaku thibitisha uwezo wao wakuzungumza Kiingereza nchini Australia kabla yaku endeleza masomo yao.

  • Taarifa ya Habari 15 Oktoba 2024

    15/10/2024 Duração: 23min

    Mawaziri wa afya wa Australia wame idhinisha mchakato wa haraka, kwa madaktari waliofunzwa ng'ambo kuanza kufanya kazi kote nchini.

  • Mercy"Tunatazamia kupokea huduma bora kutoka kwa balozi wetu"

    15/10/2024 Duração: 08min

    Viongozi wa shirika la Kenyans in Sydney Welfare Association kwa ushirikiano na mashirika mengine yawakenya wanao ishi mjini Sydney wali andaa kongamano la wanafunzi.

  • Taarifa ya Habari 11 Oktoba 2024

    11/10/2024 Duração: 18min

    Wa Australia wanaweza lipishwa zaidi watakapo enda tena kuweka petroli ndani ya gari zao ila, mweka hazina wa taifa ame wahamasisha wauzaji wa reja reja wasi wadhulumu wateja.

  • Prof Chacha "mtu ambaye amekuwa katika hali ya uchochore hawezi mkashifu anaye msaidia"

    11/10/2024 Duração: 07min

    Nchi kadhaa barani Afrika zina endelea kuongeza ushirikiano na China, ambayo kwa upande wayo ina toa zawadi mbali mbali kwa nchi hizo.

  • Taarifa ya Habari 8 Oktoba 2024

    08/10/2024 Duração: 19min

    Wa Australia wanao rejea nchini kutoka Lebanon katika ndege za kwanza zilizo kodishwa na serikali ya shirikisho wame wasili mjini Sydney.

  • Matt "wakenya hawataki Gachagua aondolewe mamlakani"

    08/10/2024 Duração: 05min

    Wikendi iliyopita wakenya wanao ishi Sydney, New South Wales walijumuika katika kitongoji cha Chester Hill kwa mkutano maalum.

  • Lydia "ukiwa Africultures nikama umetembea Afrika nzima"

    08/10/2024 Duração: 09min

    Maelfu ya wa Australia wenye asili ya Afrika, kwa mwaka mwingine wali jumuika katika viwanja vya Sydney Olympic Park kuhudhuria tamasha ya Africultures.

  • Taarifa ya Habari 4 Oktoba 2024

    04/10/2024 Duração: 17min

    Idara ya Afya ya New South Wales ina wahamasisha watu wanao stahiki wapate dozi zao mbili za chanjo za mpox sasa hivi, wasiwasi unapo endelea kuwa kuhusu ongezeko ya kesi na wanao lazwa hospitalini jimboni humo.

  • Jinsi yakupata mkopo wa kununua nyumba Australia

    04/10/2024 Duração: 12min

    Kununua nyumba kawaida ni moja ya ununuzi mkubwa katika maisha ya mtu.

  • Taarifa ya habari 1 Oktoba 2024

    01/10/2024 Duração: 19min

    Waangalizi wa watumiaji wa Australia wanatarajiwa kupokea jeki ya dola milioni 30, kuchukua hatua kwa matendo ya kuongeza bei kutoka kwa maduka makubwa na wauzaji reja reja.

  • Francis "Openmaps Global Study imeziba pengo katika utoaji wa elimu ya juu Australia"

    01/10/2024 Duração: 09min

    Sekta ya elimu ya juu nchini Australia, ina thamani yama bilioni ya dola.

  • Taarifa ya Habari 20 Septemba 2024

    20/09/2024 Duração: 16min

    Mswada wa serikali ya shirikisho waku ongeza malipo ya uzeeni katika likizo ya wazazi yenye malipo ime idhinishwa na bunge.

  • Prof Chacha "kuendelea kuahirisha uchaguzi hakuta leta amani au mafanikio Sudan Kusini"

    20/09/2024 Duração: 07min

    Kwa mara nyingine uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini ume ahirishwa hadi Disemba 2026.

  • Francis "wakati wakubadilisha shule ni sasa"

    18/09/2024 Duração: 10min

    Idadi ya wanafunzi wakimataifa itapunguzwa mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.

  • Taarifa ya Habari 17 Septemba 2024

    17/09/2024 Duração: 18min

    Mwanaume anaye shukiwa kuhusika katika jaribio laku muuwa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, amefunguliwa mashtaka ya uhalifu wakutumia bunduki.

página 4 de 26