Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 108:24:34
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episódios
-
Kinyua "karibuni tusherehekee uafrika wetu kupitia soka ACT"
13/09/2024 Duração: 07minWanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Canberra, ACT wanajiandaa kushiriki katika kombe la Afrika kesho Jumamosi 14 Septemba 2024.
-
Taarifa ya Habari 13 Septemba 2024
13/09/2024 Duração: 17minMdhibiti wa vyombo vya habari nchini, atapewa mamlaka yakuchukua hatua dhidi ya makampuni ya teknolojia kama Meta na X, kwa usambazaji wa habari potofu na habari feki katika mitandao yao.
-
Upinzani watishia maandamano iwapo wanachama wao hawata achiwa huru Tanzania
13/09/2024 Duração: 08minChama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimetishia kuanzisha maandamano makubwa zaidi, tangazo linalokuja baada ya kutuhumu mamlaka kwenye taifa la Afrika Mashariki kwa kuwauua na kuwateka wanachama wake.
-
Taarifa ya Habari 10 Septemba 2024
10/09/2024 Duração: 17minWauguzi na wakunga kote jimboni New South Wales, wanao ondoka kazini leo Jumanne 10 Septemba, kinyume na amri za tume ya mahusiano ya serikali ya viwanda kusitisha mgomo maramoja.
-
Embracing the wisdom of traditional Indigenous medicine - Kukumbatia maarifa ya tiba ya asili
09/09/2024 Duração: 10minUnderstanding and respecting Indigenous knowledge of medicine may be the key to providing more holistic and culturally sensitive care in today's healthcare setting. - Kuelewa nakuheshimu maarifa ya tiba ya asili, inaweza kuwa muhimu kwa kutoa kutoa huduma kamili na inayo faa kitamaduni katika mazingira yakisasa ya huduma ya afya.
-
#39 Kuwasilisha marejesho yako ya ushuru | Vidokezo vyakudai gharama (Adv)
09/09/2024 Duração: 17minJifunze jinsi yakuzungumza kuhusu marejesho ya ushuru. Pia jua jinsi punguzo ya ushuru inaweza kusaidia kupunguza bili yako ya ushuru.
-
Waganga wakienyeji walikata viungo vya Jessy na George, sasa madaktari wa Australia wanarejesha afya yao
05/09/2024 Duração: 11minUshirikina umefanywa kwa mufa mrefu kote nchini Uganda.
-
Sekta ya elimu ya juu yasema wanafunzi wakimataifa wamekuwa 'lishe ya mzinga' katika mjadala wa uhamiaji
03/09/2024 Duração: 10minIdadi ya wanafunzi wakimataifa itawekewa vikomo mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.
-
Taarifa ya Habari 3 Septemba 2024
03/09/2024 Duração: 16minData ya hivi karibuni imeonesha kwa sasa ni ghali zaidi kununua nyumba Adelaide au Perth kuliko Melbourne.
-
David "Kupoteza wanachama 3 ndani ya siku 10 imekuwa pigo kubwa sana kwetu"
27/08/2024 Duração: 11minJumuia yawa Kenya wanao ishi Victoria, ina omboleza vifo vya wanachama watatu walio aga dunia ndani ya siku 10.
-
Taarifa ya Habari 27 Agosti 2024
27/08/2024 Duração: 17minKampuni ya ndege ya Singapore Airlines itakuwa kampuni ya kimataifa ya kwanza kutumia uwanja mpya wa ndege wa Magharibi Sydney. Qantas ime ahidi tayari kutumia uwanja huo wa ndege, unao tarajiwa kufunguliwa mwisho wa 2026.
-
#3 Kuzungumza kuhusu asili zakitamaduni| Jan 26 (Australia Day)
27/08/2024 Duração: 12minJifunze jinsi yakuzungumza kuhusu historia ya utamaduni wako. Pia jua kwa nini Australia Day inaendelea kuwa siku ya maandamano kwa wa Australia wa kwanza.
-
Taarifa ya Habari 23 Agosti 2024
23/08/2024 Duração: 16minMamlaka yasiyo ya kawaida yanayo ruhusu jeshi la polisi, kusimamisha ghafla nakufanya msako kwa watu jimboni Queensland yame ongezwa.
-
Mali yaishtumu Ukraine kwa kuhusika katika shambulio nchini humo
23/08/2024 Duração: 08minMgogoro wakidiplomasia ume zuka kati ya Mali na Ukraine baada ya viongozi wa taifa hilo la Magharibi Afrika, kuishtumu taifa hiyo ya Mashariki ya Ulaya kuhusika katika shambulio nchini humo.
-
Taarifa ya Habari 22 Agosti 2024
22/08/2024 Duração: 06minWazazi wapya hivi karibuni wataweza anza pokea malipo yao ya uzeeni juu ya malipo ya likizo ya wazazi yanayo wekezwa na serikali, sheria ziki tarajiwa kuwasilishwa ndani ya bunge la shirikisho hii leo Alhamis 22 Agosti.
-
#66 Maswali yaku uliza unapo tazama nyumba unayo taka kodi
21/08/2024 Duração: 17minJifunze jinsi yaku uliza maswali, unapo tazama nyumba unayo tarajia ku kodi.
-
Aina mpya ya kirusi cha mpox chatambuliwa Pakistan, umakini wa himizwa na hatua ziongezwe
20/08/2024 Duração: 09minKesi mpya ya kirusi cha mpox imeripotiwa nchini Pakistan, baada ya kesi kama hiyo kuripotiwa nchini Sweden.
-
Taarifa ya Habari 20 Agosti 2024
20/08/2024 Duração: 19minKiongozi wa chama cha Greens Adam Bandt amesema utafiti mpya ulio agizwa na chama chake una onesha kuwa wa Australia wanao fanya kazi za kawaida hawa wezi mudu kununua nyumba zao wenyewe.
-
Nzovu "Miaka ishirini inapita na kabila la Wanyamurenge bado halijapata haki yao"
16/08/2024 Duração: 09minUsiku wa 13 Agosti 2004 takriban watu 166 wali uawa kikatili, na mamia kujeruhiwa ndani ya kambi ya wakimbizi ya Gatumba, Burundi.
-
Taarifa ya Habari 16 Agosti 2024
16/08/2024 Duração: 16minKiongozi wa upinzani Peter Dutton ame shtumiwa kwa ubaguzi na kuchochea mgawanyiko na baadhi ya wabunge ambao wame kosoa wito waku wazuia wa Palestina ambao wame kwama Gaza kuingia Australia.