Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 108:24:34
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episódios
-
Mtoto wako ananyanyaswa shuleni au mtandaoni? Hatua muhimu unastahili chukua
16/08/2024 Duração: 13minKutoa mazingira salama na jumuishi ni dhamira ya msingi ya kila jumuiya ya shule ya Australia.
-
Kisimba "tuta furahi sana kuona Icon wetu hapa Sydney"
14/08/2024 Duração: 10minMfalme wa muziki wa DR Congo Koffi Olomide ame anza ziara ya tamasha Australia.
-
Taarifa ya Habari 13 Agosti 2024
13/08/2024 Duração: 15minViongozi wa Marekani na Uingereza wanaweza jiondoa katika makubaliano ya manowari yaliyofanywa na Australia chini ya mpangilio wa AUKUS, kwa kutoa onyo la mwaka mmoja tu kulingana na hati mpya ya ushirikiano huo.
-
Sababu nzuri zaku tii sheria za watembeaji wa miguu
13/08/2024 Duração: 13minKila siku, watu wanao tembea kwa miguu kote nchini Australia huvunja sheria bila kujua. Hali hii inaweza sababisha adhabu, na wakati mwingine inaweza sababisha ajali.
-
Taarifa ya Habari 9 Agosti 2024
09/08/2024 Duração: 19minKiongozi wa upinzani Peter Dutton amesema chama chake kina endelea ku unga mkono makubaliano ya AUKUS, yaliyo tiwa saini chini ya serikali ya Morrison ila, ana hoji kwa nini serikali ya Albanese ina pinga nishati ya nyuklia.
-
Sekta ya vyuo yadai wanafunzi wakimataifa wanatumiwa kama "mpira" wakisiasa
09/08/2024 Duração: 09minVyuo na biashara vina fanya kampeni ya ushawishi dhidi ya sheria zenye utata, kuweka idadi ya wanafunzi wa kimataifa kuanzia mwaka ujao.
-
Taarifa ya Habari 8 Agosti 2024
08/08/2024 Duração: 05minWafanyakazi wa huduma ya malezi ya watoto kote nchini Australia, wana tarajiwa kuongezewa mishahara, iwapo sehemu zao za kazi zita kubali kuto ongeza ada kwa zaidi ya asilimia 4.4 katika mwaka ujao.
-
Amedee "tunatoa mafunzo na uelewa kwa yaliyo fanyika Rwanda 1994"
07/08/2024 Duração: 12minOnesho la hadithi za wahanga wa mauaji ya 1994 nchini Rwanda, lime zinduliwa katika jumba la sanaa mjini Sydney, Australia.
-
Kuelewa mfumo wa sheria wa Australia: sheria, mahakama na msaada wakisheria
06/08/2024 Duração: 13minMfumo wa sheria wa Australia ni mfumo changamano ulio undwa kudumisha utaratibu, kuhakikisha nakulinda haki za raia wake.
-
Taarifa ya Habari 6 Agosti 2024
06/08/2024 Duração: 18minAustralia imeongeza kiwango cha tisho la ugaidi kitaifa kutoka uwezekano hadi kuwezekana. Serikali imesema kuongezeka kwa itikadi kali katika wigo wa kisiasa na kiitikadi uko nyuma ya marekebisho hayo.
-
Kiwango cha tisho la ugaidi cha ongezwa kutoka "uwezekano" hadi "kuwezekana"
06/08/2024 Duração: 07minKiwango cha tisho la ugaidi cha Australia kime ongezwa kwa mara ya kwanza katika muongo.
-
Taarifa ya Habari 2 Agosti 2024
02/08/2024 Duração: 16minWaziri Mkuu amesema maoni ya watu wanao ishi na ulemavu yanasikizwa, kufuatia ukosoaji ulio ibuka kufuatia jibu la serikali kwa tume yakifalme kwa ulemavu.
-
Jeff "unaweza dhani ume mdhuru mtu mmoja tu, kumbe ume waathiri wengi zaidi"
02/08/2024 Duração: 05minHadithi halisi za wahanga wa mauaji ya 1994 nchini Rwanda, zime zinduliwa katika jumba la sanaa mjini.
-
H_art the Band kuhusu tamasha ya Australia
02/08/2024 Duração: 13minKundi la H_art the Band kutoka Kenya, lili kuwa mjini Sydney kwa tamasha yao ya miji 5 mikuu ya Australia.
-
Taarifa ya Habari 12 Julai 2024
12/07/2024 Duração: 15minPolisi wadai baba ambaye amefunguliwa mashtaka ya mauaji ya watoto wake watatu, inadaiwa walifunga milango kuwazuia watu kuondoka ndani ya nyumba iliyo kuwa iki ungua katika kitongoji cha Lalor Park mjini Sydney.
-
Sanaa inayo sherehekea uhusiano wa watu wa Mataifa ya Kwanza na bahari
12/07/2024 Duração: 05minNi wiki ya NAIDOC, wakati wakusherehekea historia, utamaduni na mafanikio ya watu wa Mataifa ya Kwanza.
-
Taarifa ya Habari 11 Julai 2024
11/07/2024 Duração: 06minJumuiya katika maeneo ya magharibi Melbourne, zime ambiwa kuepuka kiwanda cha kemikali ambako moto ulituma moshi wenye sumu angani mjini humo baada ya wazima moto kukabiliana na moto huo usiku kutwa.
-
Konje "walicho tumia kutuomba kura ndicho wanatumia kufanya maisha yawe ngumu"
10/07/2024 Duração: 08minMuswada wa fedha wa 2024 nchini Kenya, umevutia upinzani mkubwa kutoka wakenya wanao ishi Australia.
-
Umuhimu wa itifaki zawa Australia wa asili ni nini kwa kila mtu?
09/07/2024 Duração: 11minKuzingatia itifaki zakitamaduni zawa Aboriginal na wana visiwa wa Torres Strait wa Australia, ni hatua muhimu kwa kuelewa na kuwaheshimu wamiliki wa jadi wa ardhi tunako ishi.
-
Taarifa ya Habari 9 Julai 2024
09/07/2024 Duração: 18minWakaaji wa Alice Springs wame amka baada ya usiku wa kwanza wa amri ya kuto toka nje ambayo ili wekwa kwa ajili yakupunguza uhalifu.