Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 108:24:34
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episódios
-
Jinsi yakufanya rejesho lako la ushuru Australia
09/07/2024 Duração: 12minKama wewe ni mkaaji wa Australia kwa madhumuni ya ushuru, kuanzia Julai 1, ambayo ni mwanzo wa mwaka wa fedha, lazima uweke wazi mapato yote uliyopata katika mwaka uliopita wa fedha, dhidi ya makato yako ya kodi.
-
Taarifa ya Habari 5 Julai 2024
05/07/2024 Duração: 19minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema muda ambao Seneta Fatima Payman amefanya tangazo lake lakujiuzulu kutoka chama cha Labor ni swala linalo mhusu.
-
Phylis "naomba wakenya wadumishe amani na viongozi wasikize maoni yetu"
04/07/2024 Duração: 05minMaandamano ya vijana yanayo endelea Kenya, yame zua hisia mseto katika jamii.
-
Kinyua "tumekuja kuomboleza walio uawa katika maandamano Kenya"
04/07/2024 Duração: 12minWakenya wanao ishi Canberra, Australia walijumuika mbele ya ubalozi wa nchi yao kuonesha mshikamano na vijana wenzao.
-
Taarifa ya Habari 28 Juni 2024
28/06/2024 Duração: 17minVyama vya wafanyakazi wanaunga mkono haki ya wabunge wa chama cha Labor kuvuka sakafu na kupiga kura dhidi ya msimamo wa chama, wakisema hatua hiyo ina imarisha vuguvugu la Labor.
-
Indigenous art: Connection to Country and a window to the past - Sanaa ya watu wa Asili: Muunganisho wa Nchi na dirisha kwa siku za nyuma
27/06/2024 Duração: 09minEmbracing their oral traditions, Aboriginal and Torres Strait Islander peoples have used art as a medium to pass down their cultural stories, spiritual beliefs, and essential knowledge of the land. - Kukumbatia mila zao zaku simulia hadhithi, watu waki Aboriginal na wanavisia wa Torres Strait wame tumia sanaa kama mbinu yaku changia hadithi za utamaduni wao, imani za kiroho na maarifa muhimu ya ardhi.
-
Taarifa ya Habari 27 Juni 2024
27/06/2024 Duração: 06minMbunge wa chama cha Liberal Simon Birmingham amesema amefurahi kuona masaibu yakisheria ya Julian Assange yame isha ila, ilikuwa makosa kwa waziri mkuu kumpigia simu Bw Assange akimkaribisha nyumbani.
-
Makena "Viongozi wetu wajifunze kwa yaliyo fanyika Sri Lanka"
25/06/2024 Duração: 19minMaandamano dhidi ya muswada wa fedha wa 2024 nchini Kenya hatimae yamefika Australia.
-
Taarifa ya habari 25 Juni 2024
25/06/2024 Duração: 19minBaadhi ya wabunge huru wanataka makaazi yawekwe kuwa haki ya msingi ya binadamu nchini Australia.
-
Wahitimu wamatibabu wakimataifa wa elezea kero za sifa zao kutambuliwa Australia
25/06/2024 Duração: 09minTakwimu mpya zina onesha ongezeko kwa idadi yama daktari, wauguzi na wataalamu wa afya wanao fanya kazi katika mifumo ya huduma ya afya nchini Australia.
-
Taarifa ya Habari 21 Juni 2024
21/06/2024 Duração: 19minAustralia ime ahidi kuendelea kuwasaidia wakaaji wa Papua New Guinea ambao wanapitia wakati mgumu kumudu maisha baada ya kukabiliwa kwa maporomoko mabaya ya ardhi mnamo Mei.
-
Taarifa ya Habari 20 Juni 2024
20/06/2024 Duração: 07minMwanaume mmoja amefikishwa mahakani leo kwa sababu ya dai la tisho la bomu lililo funga sehemu za mji wa Melbourne jana Jumatano mchana.
-
Patrick 'nimuhimu kwa wakimbizi kuja Australia wakiwa na leseni yakuendesha gari'
20/06/2024 Duração: 17minMaadhimisho ya wiki yawakimbizi yalifanyika kote nchini Australia.
-
Taarifa ya Habari 18 Juni 2024
18/06/2024 Duração: 17minWaziri mkuu wa China Li Qiang ameondoka Canberra baada ya siku yakihistoria ya mazungumzo yakidiplomasia ndani ya bunge la taifa.
-
Haki zangu zakidini zina lindwaje kazini?
18/06/2024 Duração: 13minNchini Australia, sheria dhidi ya ubaguzi katika sehemu za kazi kwa misingi yakidini hutofautiana katika mamlaka zote.
-
Taarifa ya Habari 17 Juni 2024
18/06/2024 Duração: 05minWaziri wa kwanza wa China Li Qiang amekaribishwa ndani ya bunge la taifa, hiyo ikiwa ni ziara ya kwanza ya waziri wa kwanza wa China katika muda wa miaka 7.
-
Wafanyakazi wapato la chini kuongezewa mishahara kuanzia Julai 1
18/06/2024 Duração: 08minMa milioni yawa Australia watapata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mshahara wao.
-
Taarifa ya Habari 14 Juni 2024
14/06/2024 Duração: 21minMaelfu ya wahamiaji waliokuwa wakitarajia kujisajili katika vyuo vya Australia, hawata weza tena kuomba viza wanazo hitaji.
-
Uhaba wa fedha wakwamisha shughuli za taasisi za Jumuiya ya Afrika Mashariki
14/06/2024 Duração: 06minTaasisi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki, zimejipata katika hali ngumu baada ya bajeti zao kuathirika sana.
-
Iyanii "fahari yangu imekuwa kubadilisha maisha ya wazazi wangu"
13/06/2024 Duração: 15minIyanii ni msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Kenya, anaye zidi kuwa maarufu kila kukicha.