Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editora: Podcast
  • Duração: 108:24:34
  • Mais informações

Informações:

Sinopse

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episódios

  • Taarifa ya Habari 11 Juni 2024

    11/06/2024 Duração: 18min

    Serikali ya Queensland inapanga kuwa na hatua zakupunguza shinikizo ya gharama ya maisha licha yakutarajia nakisi ya bajeti.

  • Baby blues au unyogovu wa uzazi? Jinsi yaku jisaidia pamoja na mpendwa wako

    11/06/2024 Duração: 13min

    Kama wewe ni mzazi mtarajiwa au mzazi mpya, huenda umesikia neno hili la kiingereza 'baby blues'. Maana yake ni hisia za uzoefu wa changamoto zaki hisia ambazo wanawake wanne kati ya watano hupata baada ya kujifungua.

  • Taarifa ya Habari 10 Juni 2024

    11/06/2024 Duração: 06min

    Upinzani wa shirikisho umesema una nia yakutekeleza Makubaliano ya Paris ila, uta futa malengo ya mazingira ya Australia yanayo ifunga kisheria.

  • Taarifa ya Habari 7 Juni 2024

    07/06/2024 Duração: 20min

    Waziri wa serikali ya shirikisho Bill Shorten amesema hawezi sema kama chama cha Labor kita weka chama cha Greens mwisho, katika kadi zao za maelezo ya jinsi yakupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao kwa sababu ya msimamo wa chama cha Greens kwa mgogoro wa Gaza.

  • Kipsang "niki imba vilabuni naimbia watu wa Mungu"

    05/06/2024 Duração: 10min

    Kipsang ni msanii mzawa wa Kenya anaye tunga nyimbo naku imba katika lugha yaki Kalenjin.

  • Wafanyakazi wapato la chini kuongezewa $33 katika mishahara yao kila wiki

    04/06/2024 Duração: 08min

    Ma milioni yawa Australia watapata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mshahara wao.

  • Taarifa ya Habari 4 Juni 2024

    04/06/2024 Duração: 21min

    Serikali ya shirikisho inakana ukosefu wa ukuaji wa tija kwa zamu yake ambayo imewagharimu wafanyakazi wapato la chini nyongeza yajuu zaidi ya mshahara. Tume ya Haki ya Kazi ime inua kima cha chini cha mishahara na tuzo kwa asilimia 3.75 itakayo anza Julai 1

  • ANC yahamasisha umoja baada yakupoteza wingi bungeni, ila yataka kusalia madarakani

    03/06/2024 Duração: 08min

    Matokeo ya mwisho ya uchaguzi mkuu wa Afrika Kusini yame thibitisha mabadiliko makubwa katika nyanja ya kisiasa ya nchi hiyo.

  • Taarifa ya Habari 3 Juni 2024

    03/06/2024 Duração: 07min

    Mamilioni yawa Australia wata pata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mishahara yao, baada ya tume haki ya kazi kutoa uamuzi wake wa tathmini ya mwaka ya malipo.

  • Wasiwasi wabadilika kuhusu kufukuzwa nchini kwa raia wa New Zealand

    31/05/2024 Duração: 08min

    Serikali ya Australia imesema ina uhakika inaweza simamia uhusiano wayo na New Zealand, licha ya wasiwasi ulio zuliwa kuhusu mageuzi kwa sera inayo julikana kama Direction 99.

  • Taarifa ya Habari 31 Mei 2024

    31/05/2024 Duração: 19min

    Donald Trump amekuwa rais wa kwanza wa zamani wa Marekani kupatwa na hatai ya uhalifu, baada ya jopo la mahakama la wajumbe 12 mjini New York kumpata na hatia ya udanganyifu wa hati ili kuficha malipo ya kumnyamazisha nyota wa ponografia kabla ya uchaguzi mkuu wa 2016.

  • Vita vya Australia vilikuwa vipi na kwa nini historia haija vitambua?

    31/05/2024 Duração: 15min

    The Frontier Wars ni neno linalo tumiwa kuelezea zaidi ya miaka 100 ya migogoro ya vurugu kati ya wakoloni nawatu wa asili wa Australia, vilivyo tokea wakati wangereza walikuwa wakianza kuishi Australia.

  • Wa Australia wa Mataifa ya Kwanza wasema 'Sasa zaidi ya Wakati wowote' upatanisho wa kweli unahitajika

    28/05/2024 Duração: 09min

    Hii ni wiki ya Upatanisho, ina adhimisha tarehe mbili muhimu katika historia ya Australia kwa haki zawatu wa Mataifa ya Kwanza.

  • Taarifa ya Habari 28 Mei 2024

    28/05/2024 Duração: 20min

    Waziri wa maswala ya kigeni wa Australia Penny Wong amesema shambulizi baya la anga la Israel katika mji wa Rafah, linatisha na halikubaliki. Takriban watu 45 wame uawa baada ya shambulizi hilo kusababisha moto mkubwa katika kambi ya mahema ya kitongoji cha Tel Al-Sultan.

  • Vital Kamerhe achaguliwa kuwa spika mpya wa bunge la DRC

    28/05/2024 Duração: 06min

    Wabunge wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wamemchagua Vital Kamerhe, ambaye nyumba yake ilishambuliwa siku ya Jumapili, kuwa spika mpya.

  • Taarifa ya Habari 24 Mei 2024

    24/05/2024 Duração: 15min

    Ndege mbili za ziada zitatumika kutoka New Caledonia, serikali ya Australia ikiendeleza juhudi zakuwaleta nyumbani raia ambao wame kwama huko. Safari hizo za ndege ambazo zimefadhiliwa na serikali, zitaondoka kutoka eneo hilo la ufaransa katika Pasifiki leo Mei 24, baada ya zaidi ya wiki nzima ya migomo ambayo imesababisha vifo vya watu sita.

  • Kikomo cha umri wa viza 'isiyo haki' kuwalazimisha wanafunzi wakimataifa wa PhD kuondoka Australia

    24/05/2024 Duração: 07min

    Kikomo kipya kwenye visa maarufu ya wahitimu kina waacha wanafunzi wengi wakimataifa wa PhD nchini Australia waki kabiliwa na siku za usoni zisizo na uhakika.

  • Taarifa ya Habari 23 Mei 2024

    23/05/2024 Duração: 06min

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron yuko katika Kisiwa cha Pasifiki cha New Caledonia, kwa mazungumzo yenye lengo laku geuza ukurasa kwa ghasia mbaya iliyo chochewa na mageuzi ya uchaguzi unaopingwa. Watu sita wamefariki katika machafuko hayo na takriban watu 300 wamekamatwa.

  • What were the Australian Wars and why is history not acknowledged? - Vita vya Australia vilikuwa vigani na kwa nini historia haivitambui?

    22/05/2024 Duração: 11min

    The Frontier Wars is a term often used to describe the more than 100 years of violent conflicts between colonial settlers and the Indigenous peoples that occurred during the British settlement of Australia. Even though Australia honours its involvement in wars fought overseas, it is yet to acknowledge the struggle that made it the country it is today. - The Frontier Wars ni neno linalo tumiwa kuelezea zaidi ya miaka 100 ya migogoro ya vurugu kati ya wakoloni nawatu wa asili wa Australia, vilivyo tokea wakati wangereza walikuwa wakianza kuishi Australia. Hata kama Australia ni taifa linalo enzi kushiriki kwalo katika vita ng’ambo, bado haija tambua vita vilivyo ifanya kuwa nchi iliyopo leo.

  • Taarifa ya Habari 21 Mei 2024

    21/05/2024 Duração: 18min

    Upinzani wa shirikisho umesema serikali haina "mpango wa kuaminika", kulinda mtandao wa umeme wa Australia kupitia kuhamia kwa nishati mbadala.

página 8 de 26