Sbs Swahili - Sbs Swahili

Australia Yafafanuliwa:Taarifa kuhusu sheria za forodha na usalama wa kibiolojia za Australia

Informações:

Sinopse

Forodha kwa ujumla ndio sehemu ya kwanza ya mawasiliano kwa watu wanaoingia Australia. Maafisa wa Kikosi cha Mpakani cha Australia wako tayari kwenye lango, wakilenga kuweka bidhaa zilizopigwa marufuku nje ya nchi.