Sbs Swahili - Sbs Swahili

Makala leo: Waustralia waonywa kupata chanjo dhidi ya aina ya mafua inayo sambaa haraka

Informações:

Sinopse

Wataalamu wa magonjwa ya kuambukiza wanahimiza kila mtu apate chanjo ya mafua, kwa ajili ya kujaribu kuzuia kurudia kwa mwaka jana ambapo Australia ilishuhudia idadi kubwa ya vifo vilivyo sababishwa na mafua.