Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editora: Podcast
  • Duração: 108:24:34
  • Mais informações

Informações:

Sinopse

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episódios

  • Ni makaazi gani yanapatikana kwa wanafunzi

    12/07/2023 Duração: 11min

    Australia ni moja ya sehemu zinazo vutia kusomea ng'ambo.

  • Taarifa ya Habari 11 Julai 2023

    11/07/2023 Duração: 19min

    Australia na Ujerumani zatia saini ya biashara huru naku ahidi misaada ya ziada kwa Ukraine.

  • Balozi Ali Karume afutwa uanachama CCM

    10/07/2023 Duração: 07min

    Chama tawala cha CCM Zanzibar, kimemfuta uanachama kada wake, Balozi Ali Karume na kumtaka arejeshe kadi ya chama hicho.

  • Taarifa ya Habari 9 Julai 2023

    09/07/2023 Duração: 19min

    Waziri wa Elimu wa shirikisho Jason Clare amesema itabidi waziri mkuu wa zamani Scott Morrison, aishi na madhara ya mfumo wa robodebt katika dhamira yake.

  • Isaac "Viongozi wengi wa Afrika wanachaguliwa na mataifa ya Magharibi"

    06/07/2023 Duração: 11min

    Wanachama wa Jumuiya ya DR Congo wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika hafla maalum yaku adhimisha miaka 63 ya uhuru wa nchi yao pendwa.

  • Unastahili zingatia nini unapo panga kuhamia katika jimbo lingine?

    05/07/2023 Duração: 09min

    Kila mwaka, ma mia ya maelfu yawa Australia huhama kutoka majimbo wanako ishi kwa sababu za kazi, elimu, maisha, familia au msaada bora wa jamii.

  • Taarifa ya Habari 4 Julai 2023

    04/07/2023 Duração: 17min

    Waziri wa Fedha akaribisha uamuzi wa benki ya hifadhi wakuto ongeza kiwango cha riba.

  • Mahakama yasema mipango ya serikali ya Uingereza kwa waomba hifadhi ni kinyume cha sheria

    04/07/2023 Duração: 04min

    Mpango wa serikali ya Uingereza waku wapeleka waomba hifadhi Rwanda, ume patwa kuwa ni kinyume ya sheria na mahakama moja mjini London.

  • Kikosi cha ATMIS cha anza kuondoka Somalia

    03/07/2023 Duração: 08min

    Viongozi wa jeshi la Umoja wa Afrika nchini Somalia, wamesema wamekamilisha awamu ya kwanza ya kupunguza idadi ya vikosi vyao nchini humo.

  • Taarifa ya Habari 2 Julai 2023

    02/07/2023 Duração: 14min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese asema, ziada ya bajeti kuweka Australia katika nafasi imara kiuchumi.

  • Kuadhimisha wiki ya NAIDOC

    02/07/2023 Duração: 08min

    Wiki ya sherehe na kutambua historia na mafanikio yawa Aboriginal, inayo julikana kwa jina la NAIDOC ime anza leo Julai 2.

  • Taarifa ya Habari 27 Juni 2023

    27/06/2023 Duração: 17min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese atetea hatua za serikali yake kukabili mgogoro wa utoaji wa nyumba.

  • Ongezeko ya gharama ya maisha yawaacha wafanyakazi wa mshahara wa chini bila uwezo wakumudu vitu vya msingi

    27/06/2023 Duração: 08min

    Utafiti mpya ume pata kuwa mfanyakazi nchini Australia wa wakati wote, anaye lipwa mshahara wa chini, huwa ana salia tu na $57 baada ya gharama mhimu za kila wiki.

  • Taarifa ya Habari 25 Juni 2023

    25/06/2023 Duração: 18min

    Waziri wa wa fedha Julie Collins ametetea uwekezaji wa serikali wenye thamani ya bilioni 10 kupitia mradi wa Housing Australia Future Fund, wakati vyama vya Greens na Mseto viki endelea kuzuia muswada huo kupita bungeni.

  • Jinsi yakuomba nyongeza ya mshahara nchini Australia

    25/06/2023 Duração: 11min

    Kuomba uongezewe mshamahara kunaweza kuwa vigumu kwa wafanyakazi wengi ila si lazima iwe hivyo.

  • Abang "nilimuona mama baada ya miaka 22 yakutengana naye"

    22/06/2023 Duração: 20min

    Wiki ya wakimbizi huadhimishwa nchini Australia kati ya 18 Juni hadi 24 Juni kila mwaka.

  • Unafanyaje mipangilio ya uzazi baada yakuachana na mchumba wako?

    19/06/2023 Duração: 12min

    Chini ya sheria ya Familia, haki za ustawi wa watoto huongoza mazungumzo yote ya uzazi, baada ya wanandoa kutengana au kupata talaka.

  • Wanamgambo wauwa wanafunzi 41 Uganda

    19/06/2023 Duração: 07min

    Wanamgambo wa kundi la ADF wenye uhusiano na kundi la Islamic State waliua wanafunzi 41 na kuteka nyara wengine sita katika shambulio kwenye shule kaskazini mwa Uganda karibu na mpaka na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, jeshi lilisema Jumamosi.

  • Taarifa ya Habari 18 Juni 2023

    18/06/2023 Duração: 15min

    Kiongozi wa chama cha Nationals ndani ya Seneti Bridget McKenzie, ame elezea hatua ambazo zimechukuliwa dhidi ya Seneta David Van baada ya madai ya matendo yasiyo faa kuwa yalikuwa ni uamuzi thabiti.

  • Lidia Thorpe asema alinyanyaswa na Seneta David Van ambaye amekana madai hayo

    18/06/2023 Duração: 07min

    Shutma za unyanyasaji wakijinsia za Seneta Lidia Thorpe za 2021, dhidi ya Seneta mwenza David Van, zime zua dhoruba Bungeni.

página 21 de 26