Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 108:24:34
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episódios
-
Martin" Urusi haijali maslahi yawa Afrika"
05/08/2023 Duração: 07minKati ya 27-28 Julai, Rais Putin wa Urusi alikuwa mwenyeji wa kongamano la Urusi na mataifa ya Afrika mjini St Petersburg.
-
Taarifa ya Habari 1 Agosti 2023
01/08/2023 Duração: 16minWaziri Mkuu Anthony Albanese amejibu shtuma za waziri mkuu wa zamani Scott Morrison, kwa kumshtumu kwa kutokuwa na huruma kwa waathiriwa wa mfumo wa Robodebt.
-
Vikao vya Bunge ya Shirikisho vya anza tena baada ya mapumziko ya majira ya baridi
01/08/2023 Duração: 10minVikao vya bunge la shirikisho vime anza tena baada ya likizo ya mwezi mzima, kwa kiongozi wa upinzani Peter Dutton na waziri mkuu wa zamani Scott Morrison kuzungumzia shutma zilizo tolewa wakati wa likizo kuhusu mienendo yao ya awali.
-
Taarifa ya Habari 30 Julai 2023
30/07/2023 Duração: 15minMuswada wa nyongeza ya malipo ya Jobseeker, unatarajiwa kuwasilishwa bungeni vikao vitakapo anza tena kesho Jumatatu 31 Julai 2023.
-
Taarifa ya Habari 28 Julai 2023
30/07/2023 Duração: 06minSerikali ya shirikisho imetangaza ita wasilisha tena muswada wayo mhimu wa nyumba, vikao vya bunge vitakapo anza tena kutoka likizo yake ya majira ya baridi wiki ijayo jumatatu 31 Julai.
-
Mkataba wa DP World na serikali ya Tanzania wazua upinzani mkali
27/07/2023 Duração: 11minBunge la Tanzania limeridhia mkataba wa uendeshaji wa bandari nchini humo kati ya Serikali ya Tanzania na ya Dubai.
-
Taarifa ya Habari 25 Julai 2023
25/07/2023 Duração: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese, amesema Australia inahitaji jiandaa kwa msimu wa moto wa vichaka ujao, wakati mioto ya vichaka inaendelea kuchoma maeneo ya Kaskazini ya dunia.
-
Gov Khalif "asilimia 60 ya Mandera iko chini ya udhibiti wa Al Shabaab"
25/07/2023 Duração: 07minGavana wa Kaunti ya Mandera Mohamed Adan Khalif, amesema asilimia 60 ya kaunti yake iko chini ya udhibiti wa Al Shabaab.
-
Taarifa ya Habari 23 Julai 2023
23/07/2023 Duração: 16minMfumo wa sera ya nyumba jimboni Victoria, wapokewa kwa hisia mseto na baadhi ya wadau jimboni humo.
-
Taarifa ya Habari 22 Julai 2023
23/07/2023 Duração: 05minMweka hazina wa taifa Jim Chalmers ametetea mfumo mpya wa ustawi wakitaifa wa serikali, katika jibu kwa ukosoaji kuwa baadhi ya data inayo tumiwa imepitwa na wakati.
-
Germain "nataka leta aina mpya ya siasa DRC"
20/07/2023 Duração: 16minKampeni za uchaguzi mkuu zime anza katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Taarifa ya Habari 18 Julai 2023
18/07/2023 Duração: 17minSerikali ya shirikisho leo imetangaza kuanzishwa kwa vituo vyakusomea vya vyuo vikuu, katika vitongoji vya nje ya miji mikubwa. Vituo vipya thelathini na nne, vita anzishwa katika maeneo ambayo hayana vyuo na, ambako asilimia ya umma yenye elimu ya juu ziko chini.
-
Kura ya maoni ya Voice ina husu nini?
18/07/2023 Duração: 15minBaadae mwaka huu, wa Australia watashiriki katika kura ya maoni ambako wata ulizwa kupiga kura ya NDIO au LA kwa swali lifuatalo: Una unga mkono mageuzi kwa katiba kuwatambua wa Australia wa kwanza kwa kuanzisha Sauti yawa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait?
-
Taarifa ya Habari 17 Julai 2023
17/07/2023 Duração: 06minWatendaji wa kampuni ya ushauri ya Deloitte wafika mbele ya kikao cha Seneti baada ya kuvuja kwa sakala la ushuru la kampuni ya PwC.
-
Rais Ruto "Sitaruhusu maandamano Kenya"
17/07/2023 Duração: 07minRais wa Kenya Dkt William Ruto ameapa kutoruhusu kufanyika kwa maandamano ya upinzani ambayo yamepangwa kufanyika wiki ijayo.
-
Taarifa ya Habari 16 Julai 2023
16/07/2023 Duração: 19minMweka hazina wa taifa Jim Chalmers ame ondoka nchini usiku wa leo aki elekea nchini India, ambako atawakilisha Australia katika mikutano ya G-20 mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu mjini Gandhinagar.
-
Dr Joel Kimeto afunguka kuhusu safari yake katika sanaa
16/07/2023 Duração: 38minDr Joel Kimeto ni msanii maarufu wa nyimbo za injili ndani na nje ya Kenya.
-
Taarifa ya Habari 15 Julai 2023
16/07/2023 Duração: 06minUpigaji kura umeanza katika eneo bunge la Fadden ambalo liko Gold Coast, wagombea wakifanya kampeni za dakika za lala salama kwa umma.
-
Taarifa ya Habari 14 Julai 2023
14/07/2023 Duração: 05minMichele Bullock atakuwa Gavana mpya wa Benki Kuu ya Australia.
-
Jamii ya wakenya waomboleza kifo cha ghafla cha Lydia Cheptoo
13/07/2023 Duração: 09minKifo cha ghafla cha Lydia Cheptoo kimezua majonzi na simanzi, katika jumuiya ya wakenya nchini Australia.