Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editora: Podcast
  • Duração: 108:24:34
  • Mais informações

Informações:

Sinopse

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episódios

  • Taarifa ya Habari 13 Juni 2023

    13/06/2023 Duração: 17min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema Australia inastahili chukua fursa yakuwa kiongozi wa nishati mbadala.

  • Kuelewa sekta za shule za Australia

    13/06/2023 Duração: 11min

    Wa Australia wana bahati yakuwa na sekta mbali mbali za shule na, uwezo wa kuchagua sekta ipi inawafaa watoto wao pamoja namazingira.

  • Taarifa ya Habari 11 Juni 2023

    11/06/2023 Duração: 18min

    Waziri wa huduma ya wazee Anika Wells amesema kufanya mageuzi katika mfumo wa huduma ya wazee ni binafsi kwake, Bi Wells amesema aliona matatizo tena, alipo fanya ziara ndani ya vifaa vya huduma baada yakuwa waziri wa huduma ya wazee.

  • Ziara ya kombe la dunia ya anza nchini Australia kabla ya michuano hiyo kuanza

    11/06/2023 Duração: 07min

    Tiketi milioni moja za kombe la dunia, la soka ya wanawake itakayo andaliwa nchini Australia na New Zealand zime uzwa tayari.

  • Isaac Kisimba "JFSS inawapa watu wetu huduma zinazo stahili"

    08/06/2023 Duração: 20min

    Idadi ya watu kutoka jamii zenye asili ya Afrika Mashariki na Kati , inaendelea kuongezeka nchini kila mwaka kulingana na takwimu za serikali.

  • Taarifa ya Habari 6 Juni 2023

    06/06/2023 Duração: 18min

    Serikali ya Labor ya Magharibi Australia imekutana kupendekeza rasmi Roger Cook, awe kiongozi mpya wa jimbo hilo.

  • Kutunza Walezi: Jinsi yakupata huduma za usaidizi wa walezi nchini Australia

    06/06/2023 Duração: 11min

    Takriban mtu mmoja kati yawatu tisa nchini Australia ni walezi, watu ambao huwa hudumia jamaa wao ambao ni wazee, wadhaifu, marafiki, au mtu anaye ishi na hali fulani ya afya au ulemavu.

  • Ushoga sasa waweza gharimu hukumu ya kifo Uganda

    03/06/2023 Duração: 09min

    Uganda imepitisha sheria kali dhidi ya kundi la watu wanao jitambua kama LGBTIQ+, hatua ambayo imevutia ukosoaji mkali kutoka mataifa ya magharibi pamoja wana harakati barani Africa.

  • Taarifa ya Habari 30 Mei 2023

    30/05/2023 Duração: 20min

    Kampuni moja iliyopewa kandarasi imesimamishwa kushiriki katika miradi yote kubwa ya reli, baada yaku kumbwa kwa kasha ya utapeli jimboni Victoria.

  • Jinsi yakupata nyumba ya kukodi Australia

    30/05/2023 Duração: 11min

    Sasa hivi, kuna chini ya nyumba 50,000 za kukodisha kote nchini. Miaka mbili iliyopita, idadi ya nyumba hizo ilikuwa karibu mara mbili.

  • Taarifa ya Habari 28 Mei 2023

    28/05/2023 Duração: 20min

    Wiki ya Maridhiano ya Kitaifa imeanza kote nchini na wanaharakati wamesema, tukio la mwaka huu ni mhimu haswa kwa sababu ya kura ya maoni ijayo kwa sauti yawa Australia wa kwanza bungeni.

  • Wito wa kuunga mkono kura ya Voice waongezwa katika siku ya National Sorry Day

    28/05/2023 Duração: 08min

    Miaka sita baada ya kutangazwa kwa Kauli ya Uluru kutoka moyoni, viongozi wa jamii ya kwanza na serikali kwa mara nyingine wame toa wito kwa kuanzishwa kwa sauti yawa Aboriginal na wanavisa wa Torres Strait bungeni kupitia mafanikio katika kura ya maoni.

  • Dj Swazz Damu "wafanya biashara watapata hasara kubwa baada ya Kenya kuchujwa kutoka Rugby7s"

    25/05/2023 Duração: 07min

    Wapenzi wa mchezo wa raga wa wachezaji saba, wanaendelea kukabiliana na taarifa ya timu ya taifa ya Kenya kushuka daraja katika mchezo wakimataifa wa raga.

  • Taarifa ya Habari 23 Mei 2023

    23/05/2023 Duração: 19min

    Mweka hazina wa shirikisho ametetea afueni yake ya gharama ya maisha kupitia bajeti, wakati viwango vya riba vina ongezeka pamoja na mfumuko wa bei kuongezeka naku waathiri wa australia wengi.

  • Jay "kuchujwa kwa Kenya kutoka Rugby 7s yakimataifa, ni pigo na ishara ya ukuaji wa mchezo huo"

    23/05/2023 Duração: 08min

    Taarifa ya timu ya taifa ya raga ya wachezaji saba ya Kenya, kushushwa daraja imepokewa kwa huzuni kubwa miongoni mwa mashabiki na wadau wa mchezo huo.

  • Taarifa ya Habari 21 2023

    21/05/2023 Duração: 18min

    Upinzani wa shirikisho waukosoa mpango wa Waziri Mkuu, kufanya ziara China kabla ya vikwazo vyote vya kibiashara kuondolewa dhidi ya Australia.

  • Mahasimu Sudan wakubali kusitisha vita kwa siku 7

    21/05/2023 Duração: 06min

    Pande hasimu nchini Sudan, zimekubaliana kusitisha mapigano kwa siku saba kuanzia Jumatatu.

  • Taarifa ya Habari 16 Mei 2023

    16/05/2023 Duração: 18min

    Waziri Mkuu ametupilia mbali madai kuwa sera yamakazi ya serikali, ita andikwa tena katika kongamano lakitaifa la chama cha Labor.

  • Kiongozi wa upinzani adai mpango wa uhamiaji katika bajeti utaongeza mzozo wa makazi

    16/05/2023 Duração: 10min

    Kiongozi wa upinzani Peter Dutton amekosoa bajeti ya serikali ya Labor ya 2023, akisema haifanyi chochote kusaidia Australia ya kati.

  • Je, ni nini athari ya bajeti ya 2023 kwa jumuiya za tamaduni nyingi

    15/05/2023 Duração: 11min

    Mara nyingi huwa tunazungumza kuhusu bajeti, kwa misingi ya washindi na wanao poteza.

página 22 de 26