Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 108:24:34
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episódios
-
Bobi Wine awekwa katika kizuizi cha nyumbani muda mfupi baada yakuwasili Uganda
06/10/2023 Duração: 07minKiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine amesema siku ya Alhamisi amewekwa katika kizuizi cha nyumbani, baada ya kukamatwa na maafisa wa usalama alipokuwa akirejea nyumbani akitokea nje ya nchi.
-
Taarifa ya Habari 6 Oktoba 2023
06/10/2023 Duração: 19minWataalam wamesema Australia inahitaji makumi yama elfu ya nyumba za ziada zakukodi, wakati viwango vya nyumba zakukodi vinarejea katika viwango vya chini katika rekodi hali ambayo imeongeza kodi sana.
-
Baadhi ya wahamiaji wafunguka kuhusu kura ya The Voice
05/10/2023 Duração: 05minSBS ina tambua kuwa maoni yanayo wasilishwa katika makala haya, haya wakilishi maoni ya jumuiya pana na si uwakilishi wa takwimu ya umma wa Australia. Kura ya maoni ya The Voice itafanywa Jumamosi 14 Oktoba 2023. Siku hiyo, wapiga kura wata ombwa kupiga kura ya ‘ndio’ au ‘la’ kwa swali moja pekee.
-
Mgahawa wa Music & Food waleta ladha mpya Sydney, Australia
05/10/2023 Duração: 07minWalio hudhuria tamasha ya Africultures ya 2023, walikabiliawa kwa wakati mgumu wa kipi cha kuonja na kipi cha kupuuzwa.
-
Wahamiaji wanahitaji taarifa gani kabla waje Australia?
05/10/2023 Duração: 11minKila mwezi makumi yama elfu ya wahamiaji huwasili katika miji mbali mbali nchini Australia.
-
Taarifa ya Habari 3 Oktoba 2023
03/10/2023 Duração: 18minBenki kuu ya Australia imeacha kiwango cha hela taslim kwa 4.1% kwa mwezi wa nne mfululizo.
-
Hatua zaku uza gari yako nchini Australia
03/10/2023 Duração: 10minInapofika wakati waku aga gari yako ya zamani, kuna mengi yakufanya zaidi yaku iosha, kutoa kitabu cha ukarabati pamoja nakupokea malipo.
-
Taarifa ya Habari 1 Oktoba 2023
01/10/2023 Duração: 18minSeneta wa chama cha Greens Jordan Steele-John amesema panastahili kuwa waziri washirikisho wa ulemavu, anaye stahili ongoza utekelezwaji wa mapendekezo kutoka tume yakifalme kwa ulemavu.
-
Hatimae Martin Fayulu atangaza atawania Urais DRC
01/10/2023 Duração: 08minKiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Martin Fayulu, Jumamosi alithibitisha kugombea urais kwenye uchaguzi wa tarehe 20 Disemba 2023.
-
Taarifa ya Habari 26 Septemba 2023
26/09/2023 Duração: 15minDaniel Andrews ametangaza uamuzi wake wakujiuzulu kama kiongozi wa Victoria.
-
Jinsi yakujiandaa kufanya mtihani wa uraia wa Australia
26/09/2023 Duração: 12minKuwa raia wa Australia ni uzoefu wa kusisimua na wenye zawadi kwa wahamiaji wengi.
-
Wambui azindua kampuni ya mavazi ya Ga-Kenia
06/09/2023 Duração: 06minTamasha ya Africultures hutoa fursa nyingi kwa wajasiriamali kukutana na kupata wateja wapya.
-
Taarifa ya Habari 5 Septemba 2023
05/09/2023 Duração: 18minSerikali imesema haita piga hatua nyuma kwa pendekezo la sauti yawa Australia wa kwanza bungeni, licha ya matokeo mapya ya kura ya maoni ambayo yanaonesha hali si nzuri kwa kura ya maoni ijayo.
-
Wimbo maarufu wa John Farnham watumiwa katika kampeni ya kura ya Ndio
05/09/2023 Duração: 07minKiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton amesema atafanya kura nyingine ya maoni, kama kura yakuweka sauti yawa Australia wa kwanza bungeni ndani ya katiba inafeli.
-
Taarifa ya Habari 4 Septemba 2023
04/09/2023 Duração: 07minWaziri wa mazingira Tanya Plibersek amekosoa msimamo wa kiongozi wa upinzani Peter Dutton kwa Sauti yawa Australia wa kwanza bungeni.
-
Taarifa ya Habari 3 Septemba 2023
03/09/2023 Duração: 16minKiongozi wa upinzani Peter Dutton amesema uamuzi wa serikali ya Labor kukataa ombi la shirika la ndege la Qatar, kuongeza huduma zaidi nchini Australia kuta wadhuru wa Australia.
-
Delphine "Jamii imepokea kazi zetu vizuri ila, tunahitaji waje tushirikiane nao zaidi"
03/09/2023 Duração: 07minJumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika viwanja kwa Sydney Olympic Park kwa tamasha ya Africultures 2 Septemba 2023.
-
Brian "Kita eleweka 16 Septemba ndani ya Melbourne Pavilion"
31/08/2023 Duração: 17minBrian 'Swagga Boy' Agina ni bondia mwenye asili ya Kenya anaye ishi jimboni Victoria, Australia.
-
Kuku ashawishi ushindi katika tamasha ya Tamaduni Day
31/08/2023 Duração: 09minWanachama wa jumuiya yawa Kenya wanao ishi jimboni Victoria, hivi karibuni walishiriki katika tamasha ya tamaduni zao.
-
Taarifa ya Habari 29 Agosti 2023
29/08/2023 Duração: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese, ajiaandaa kutangaza tarehe ya kura ya moani kwa Sauti yawa Australia wa Kwanza bungeni.