Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 108:24:34
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episódios
-
Mercy 'Tumekuja huku kupata ujuzi kisha tuurudishe nyumbani Kenya"
31/10/2023 Duração: 12minWakenya wanaendelea kuwasili nchini Australia kwa viza mbali mbali, baadhi yao wakija kama wahamiaji na wengine kama wanafunzi wakimataifa.
-
Taarifa ya Habari 27 Oktoba 2023
27/10/2023 Duração: 17minVita vya Israel na Hamas vimezua vita vya maneno kati ya chama cha Greens na serikali ya Labor pamoja na chama cha upinzani.
-
Wakenya wafunguka kuhusu umuhimu wa siku ya Mashujaa
26/10/2023 Duração: 13minWakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW walijumuika katika bustani ya Australia Botanic Garden kwa maadhimisho ya siku ya Mashujaa.
-
Taarifa ya Habari 24 Oktoba 2023
24/10/2023 Duração: 19minWa Australia ambao wamekwama mjini Gaza, wamesema wameshauriwa mara kwa mara waende katika kivukio cha mpaka wa Rafah na Misri, hata hivyo walipofika huko walipata mpaka huo umefungwa.
-
Penina aweka wazi umuhimu wakuzingatia afya yako ya akili
24/10/2023 Duração: 11minUgonjwa wa afya ya akili una endelea kuwa kero kwa watu na jumuiya nyingi kote duniani.
-
Peter afunguka kuhusu maandalizi ya sherehe ya Mashujaa Day Victoria
21/10/2023 Duração: 10minWakenya kote duniani wana jumuika katika hafla za siku yaku waenzi Mashujaa wao.
-
Taarifa ya Habari 20 Oktoba 2023
20/10/2023 Duração: 20minWaziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali safari yakuenda Israel, kabla ya ziara ya mazungumzo ya pande mbili Marekani wiki ijayo Oktoba 23, wakati chama cha Labor cha Australia kina sisitiza hakija gawanyika kwa sababu ya mgogoro kati ya Israel na Hamas.
-
Blaise "Sijawahi ona uchaguzi ambao unaongozwa kwa taarifa za uongo kama huu wa Ndio au La"
20/10/2023 Duração: 12minKiwango cha ushindi wa kampeni ya 'La' katika kura ya maoni ya Sauti yawa Australia wakwanza Bungeni, kime zua gumzo kote nchini.
-
David afunguka kuhusu manufaa ya kuwa mwanachama wa Men's Cave Forum
20/10/2023 Duração: 10minWanaume wenye asili ya Kenya katika jimbo la Victoria, wali anzisha kundi kwa jina la Men's Cave Forum, ambalo hutumiwa kushughulikia maswala mbali mbali yanayo wakumba wanachama wake.
-
Taarifa ya Habari 17 Oktoba 2023
17/10/2023 Duração: 15minSerikali ya shirikisho imesema inaendelea kufuatilia hali inayo endelea kudorora mjini Gaza, wakati Israel ina andaa kufanya mashambulizi ya nchi kavu baada ya hatua yakuzingira mji huo, ambayo mashirika ya msaada yamesema inachangia katika mgogoro wakibinadam.
-
Kura ya maoni ya Sauti yawa Australia wa kwanza bungeni ime isha kwa matokeo ya 'La'
17/10/2023 Duração: 07minWa Australia wame kataa pendekezo lakuweka sauti yawa Australia wa kwanza ndani ya katiba, baada ya kampeni ya La kushinda katika majimbo yote sita pamoja na wilaya ya Northern Territory.
-
Taarifa ya Habari 16 Oktoba 2023
16/10/2023 Duração: 06minWa Australia wengine 250 wame hamishwa kutoka Israel, wakati hali ya usalama nchini humo inaendelea kudorora.
-
Wanaume jimboni Victoria wapata sehemu salama yakujumuika nakuchangia uzoefu wao
13/10/2023 Duração: 10minNi nadra kupata kundi au shirika linalo wahudumia nakushughulikia maswala yanayo wakumba wanaumi katika jamuia.
-
Taarifa ya Habari 13 Oktoba 2023
13/10/2023 Duração: 18minJumuiya zawayahudi nawa palestina wa Australia, zaendelea kuhofia usalama wa jamaa wao ambao wame kwama katika vita.
-
Kupiga kura ya Voice: Kile ambacho unaweza na hauwezi fanya katika kituo chakupiga kura
13/10/2023 Duração: 08minMaafisa wa uchaguzi nchini Australia wame toa taarifa ya kina kuhusu utaratibu utakao fuatwa, kwa kura ya maoni ya sauti yawa Australia wa kwanza bungeni itakayo fanywa Jumamosi.
-
Taarifa ya Habari 10 Oktoba 2023
10/10/2023 Duração: 18minMaandamano yakupinga Israel yameshuhudiwa mjini Sydney wakati wa makabiliano kati ya jeshi la Israel na Hamas yakiendelea, wakati huo huo mjini Perth, kundi linalo unga mkono Israel limeshiriki katika ibada maalum kwa niaba ya nchi hiyo.
-
Kelvin Kiptum atikisa dunia
10/10/2023 Duração: 10minMwanariadha Kelvin Kiptum Cheruiyot amejitengea nafasi yake katika vitabu vya historia kwa kushinda mbio za marathon mjini Chicago kwa muda wa masaa 2:00:34.
-
Ongezeko la ugonjwa wa kisukari: Uchunguzi waangazia mwenendo wakutisha wa afya
10/10/2023 Duração: 10minSerikali kwa sasa inazingatia mawasilisho kwa uchunguzi wa shirikisho, kuhusu ugonjwa wa kisukari, hali ambayo inazidi kuongezeka kote nchini Australia.
-
Geofrey "mengi yaliyo jadiliwa katika mkutano huu yametufungua mawazo sana sisi wanafunzi"
09/10/2023 Duração: 12minJumuiya ya wakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW walikuwa na mkutano ulio toa fursa kwa wanachama wa jumuiya hiyo kuzungumza nama wakala wa uhamiaji pamoja na wataalam wengine.
-
Irene "kila mtu alirudi nyumbani akijua fasi gani katika familia anastahili tengeneza vizuri"
09/10/2023 Duração: 11minKwa mara nyingine kongamano la wanawake wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi jimboni NSW, lili ongeza idadi ya walio lihudhuria katika kitongoji cha Wollongong.