Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 108:24:34
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episódios
-
Mafuriko yasababisha maafa makubwa Afrika Mashariki
30/04/2024 Duração: 07minZaidi ya watu 130,000 wame hamishwa na mafuriko nchini Kenya wakati idadi ya vifo ina endelea kuongezeka tena baada ya bwawa kuvunjika Jumatatu.
-
Taarifa ya Habari 29 April 2024
29/04/2024 Duração: 07minMratibu wa maandamano yakupinga unyanyasaji dhidi ya wanawake mjini Canberra, amesema waziri mkuu alidanganya kuhusu, kuto ruhusiwa kuzungumza katika tukio hilo.
-
Viongozi wadini, Waziri Mkuu waomba uwepo wa heshima na maelewano katika jamii
26/04/2024 Duração: 10minViongozi kutoka jumuiya za wayahudi, waislamu na wakristo mjini Sydney wame kemea kwa pamoja vurugu na maneno yakugawanya ambayo yame ibuka kufuatia matukio mawili ya shambulizi ya visu mjini Sydney.
-
Taarifa ya Habari 26 Aprili 2024
26/04/2024 Duração: 17minAliyekuwa mu Australia wa mwaka wa zamani Rosie Batty ame ihamasisha serikali ya New South Wales izingatie kuanzisha tume yakifalme kwa ukatili wa nyumbani.
-
Maveterani washerehekewa naku kumbukwa katika siku ya ANZAC
26/04/2024 Duração: 10minMaelfu ya watu walijumuika kote nchini Australia, na ng’ambo kutambua siku ya ANZAC.
-
Utofauti wa tamaduni zawa Anzac wa Australia
24/04/2024 Duração: 13minKila mwaka tarehe 25 Aprili, huwa tuna adhimisha Anzac Day, ni siku ambapo tunawakumbuka walio hudumu nakufia vitani.
-
Shakilah afunguka kuhusu huduma za Rotary Safe Families Victoria
24/04/2024 Duração: 09minShirika la Rotary Safe Families, hutoa taarifa zaku saidia kuzuia unyanyasaji kupitia miongozo iliyo tafsiriwa pamoja na filamu.
-
Taarifa ya Habari 23 Aprili 2024
23/04/2024 Duração: 18minWaziri Mkuu amewasifu wanajeshi wa Australia walio kuwa sehemu ya historia ya jeshi, katika eneo la Kokoda Track anapo jiandaa kutembea katika nyayo zamagwiji.
-
Jinsi yakupata leseni yakuendesha gari Australia
23/04/2024 Duração: 12minKuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani.
-
Nicky "kupitia Taunet Nelel vijana wengi wame anza kujijenga kimaisha"
19/04/2024 Duração: 12minWakenya wanao ishi Australia watajumuika katika jiji la Dandenong jimboni Victoria, kuhudhuria hafla la shirika la Taunet Nelel.
-
Taarifa ya Habari 19 Aprili 2024
19/04/2024 Duração: 15minWaziri Mkuu ame sisitiza umuhimu wa mshikamano wakijamii nchini Australia, kufuatia uchunguzi kwa shambulizi lakigaidi la kudungwa kisu ndani ya kanisa wiki hii.
-
Kuelewa haki yakuandamana Australia na usawa kati ya uhuru wakujieleza na majukumu yakijamii
19/04/2024 Duração: 11minKaribu kila wiki wa Australia walio na shauku huwa nje mitaani, wakipaza sauti zao waki andamana kuhusu maswala muhimu.
-
Taarifa ya Habari 18 Aprili 2024
18/04/2024 Duração: 07minAskofu aliye dungwa kisu wakati wa ibada iliyo kuwa ikipeperushwa mubashara, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu shambulizi hilo linalo shukiwa kuwa lakigaidi, akisema ame msamehe kijana anaye shukiwa kuwajibika kwa shambulizi hilo.
-
Kuelewa sheria za vizuizi vya watoto pamoja na mazoezi bora
16/04/2024 Duração: 12minHata kama Australia ina fahari yakuwa na moja ya viwango vya juu zaidi vya matumizi ya vizuizi vya watoto ndani ya gari, watoto wengi bado wana safiri ndani ya magari katika hali isiyo salama kutosha.
-
Taarifa ya Habari 15 Aprili 2024
15/04/2024 Duração: 06minPolisi wamesema mwanaume aliye uwa watu sita kwa kuwadunga kisu ndani ya soko la Westfield Bondi Junction, ali waepuka wanaume kimakusudi nakuwalenga wanawake na watoto.
-
Polisi wamtambua mshambuliaji katika mauaji ya watu wengi ambako watu sita walifariki
15/04/2024 Duração: 07minJeshi la polisi la New South Wales lime anza uchunguzi kwa shambulizi la kisu, lililo wauwa watu sita ndani ya soko kubwa katika vitongoji vya mashariki ya Sydney.
-
Taarifa ya Habari 12 Aprili 2024
12/04/2024 Duração: 16minKiongozi wa upinzani Peter Dutton ametetea kauli yake, yakufananisha umuhimu kwa jamii maandamano yanayo unga mkono wapalestina katika jengo la Sydney Opera House na mauaji ya halaiki ya Port Arthur.
-
Jinsi yakujiandaa kwa dhoruba na mafuriko Australia
12/04/2024 Duração: 14minKatika muongo ulio pita, Australia imepitia matukio mabaya sana ya mafuriko katika historia ya hivi karibuni. Kati ya miaka ya 2020-2022, sehemu kubwa zime zama chini ya maji mara tatu au mara nne.
-
Taarifa ya Habari 9 Aprili 2024
09/04/2024 Duração: 15minShirika la ustawi wa jamii lina omba pawe ongezeko kwa malipo ya hifadhi ya jamii baada ya utafiti wayo mpya kupata kuwa, wa Australia wanao pokea malipo ya ustawi wanakabiliana na hali ngumu kumudu moja ya ongezeko gumu zaidi la gharama ya maisha katika miongo.
-
Taarifa ya Habari 8 Aprili 2024
08/04/2024 Duração: 08minKiongozi wa chama cha Nationals David Littleproud amesema anaunga mkono adhabu kwa tabia mbaya za maduka makubwa ila, ameongezea kuwa mabadiliko hayo hayata jiri haraka yakutosha kwa watumiaji.