Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 108:24:34
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episódios
-
Leyla "wanawake wameleta maendeleo na utendaji bora katika uongozi"
08/03/2023 Duração: 07minWanawake kote duniani wana jumuika katika sherehe za siku yakimataifa ya wanawake.
-
Taarifa ya Habari 7 Machi 2023
07/03/2023 Duração: 18minWaziri Mkuu akataa kutenga gesi kwenye matumizi ya nishati, ili muswada wake uungwe mkono na chama cha Greens bungeni.
-
Ujuzi wa huduma ya kwanza unaweza okoa maisha, hivi ndivyo nasehemu yakupata mafunzo nchini Australia
07/03/2023 Duração: 12minWatu wengi huwa hawatarajii kuwa katika hali ya dharura, hadi wanapo jipata katika hali hiyo.
-
Taarifa ya Habari 5 Machi 2023
05/03/2023 Duração: 14minWaziri Mkuu aikosoa serikali ya NSW katika kampeni ya uchaguzi jimboni humo.
-
Jinsi yakupata matibabu kwa bei nafuu nchini Australia
02/03/2023 Duração: 10minRaia wa Australia, wakaazi wakudumu na wakimbizi wanaweza pata matibabu bure au kwa bei nafuu pamoja na madawa, kwa kujisajili katika mfumo wa Medicare, ambao ni mfumo wa huduma ya afya kwa wote.
-
Kifo cha Sharon J Kigen, cha itikisa jamii yawa Kenya kote nchini
01/03/2023 Duração: 12minTaarifa kuhusu kifo cha Sharon J Kigen, ime waacha jamaa na marafiki wake na huzuni isiyo elezeka.
-
Taarifa ya Habari 28 Februari 2023
28/02/2023 Duração: 18minSerikali ya shirikisho imetangaza mageuzi ya ushuru kwenye salio la juu ya malipo ya uzeeni. Kuanzia mwaka wa fedha wa 2025/2026, salio la zaidi ya dola milioni tatu, itatozwa ushuru wa 30% kutoka kiwango cha sasa cha ushuru wa 15%.
-
Wanafunzi wakimataifa nchini kukabiliwa kwa mageuzi ya haki za kazi
28/02/2023 Duração: 05minIdadi ya masaa ambayo wanafunzi wakimataifa nchini Australia wanaweza fanya kazi chini ya masharti ya viza zao itabadilika kuanzia Julai.
-
Taarifa ya Habari 26 Februari 2023
26/02/2023 Duração: 17minMweka hazina Jim Chalmers amesema serikali ya Australia haina uwezo wakufanya mengi kudhibiti mfumuko wa bei, ambao kwa sasa ni asilimia 7.8
-
Taarifa ya Habari 21 Februari 2023
21/02/2023 Duração: 16minSerikali ya Queensland inawasilisha sheria mpya tata, yakuchukua hatua kali dhidi ya watoto wahalifu wanao kiuka masharti ya dhamana yao.
-
Allan "napewa heshima sana Bathurst baada ya ushindi wa wakenya"
21/02/2023 Duração: 07minMji wa Bathurst, NSW kwa mara ya kwanza katika historia ulikuwa mwenyeji wa mbio za nyika za dunia.
-
Taarifa ya Habari
19/02/2023 Duração: 20minMji wa Melbourne unatarajiwa kufungua hospitali ya kwanza nchini Australia inayotibu magonjwa ya moyo.
-
Jinsi yakulinda hazina yako yakustaafu, kupata super yako iliyo potea na chakufanya ukihamia ng'ambo
19/02/2023 Duração: 13minMfumo wakustaafu wa Australiam unahitaji malipo ya kila wakati ya lazima, ndani ya mfuko wako wa malipo ya uzeeni.
-
Taarifa ya Habari
12/02/2023 Duração: 18minSerikali ya shirikisho imesema nyongeza ya bei ya umeme haitakuwa mbaya kama ilivyo hofiwa kabla. Mweka hazina wa taifa Jim Chalmers amesema kuingilia kati kwa serikali katika soko la nishati kunatoa afueni kwa nyumba nyingi.
-
Hoja ya the Voice yamwondoa Seneta Lidia Thorpe katika chama cha Greens
09/02/2023 Duração: 08minSeneta maarufu wa chama cha Greens amejiuzulu kutoka chama chake, kwa ajili yakufuatilia uhuru wa weusi.
-
Taarifa ya Habari 20 Disemba 2022
20/12/2022 Duração: 19minWaziri wamaswala yakigeni Penny Wong ame ondoka mjini Canberra, akienda kukutana na mshiriki wake wa China Wang Yi kwa majadiliano baina ya nchi hizo mbili.
-
Nini chakufanya kama unapotea ukitembea msituni
20/12/2022 Duração: 10minNchini Australia, mtu anaye tembea msituni huokolewa kila siku.
-
Prof Kitwaja: "Afrika lazima ijipange vizuri ili inufaike kupitia uhusiano wake na Marekani"
19/12/2022 Duração: 06minMkutano wa Viongozi wa Marekani na Afrika, ulikuwa na mambo mengi ya kuridhisha na makubwa, malengo ya bilioni ya dola, pamoja na taarifa kwamba rais wa Marekani atalitembela bara hilo.
-
Taarifa ya Habari 18 Disemba 2022
18/12/2022 Duração: 16minMoto wa vichaka waendelea kutisha maisha na mali zawakaaji katika maeneo kadhaa ya Magharibi Australia, mamlaka wakiendeleza juhudi zaku udhibiti.
-
Haki zako za utunzaji wa wazee nchini Australia, na jinsi yakufanya malalamishi
15/12/2022 Duração: 12minNchini Australia, kuna haki 14 zinazo linda kila mtu anae pokea huduma yawazee inayo wekezwa na serikali, iwapo ni nyumbani au katika kifaa cha makazi.