Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 108:24:34
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episódios
-
Wito watolewa katika wiki yakitaifa ya uelewa zaidi wa ugonjwa wa vifaa vyakusafirisha damu ndani ya moyo
05/03/2024 Duração: 09minWiki ya tarehe 26 Feb hadi 3 Machi, ni wiki yakutoa uelewa wa ugonjwa wa moyo na kifaa kinacho tumiwa kusafirisha hewa au damu moyoni.
-
Taarifa ya Habari 4 Machi 2024
04/03/2024 Duração: 07minWaziri mkuu Anthony Albanese amesema uchaguzi mdogo wa Dunkley umethibitisha kuwa wa Australia hawa vutiwi na kampeni hasi.
-
Taarifa ya Habari 1 Machi 2024
01/03/2024 Duração: 18minShirika la ujasusi la Australia limetetea uamuzi wayo wakuto weka wazi jina la mwanasiasa wa zamani ambaye ame husishwa na kundi la ujasusi lakigeni.
-
Tanzania yaomboleza kifo cha Hayati Mwinyi
01/03/2024 Duração: 07minViongozi mbali mbali nchini Tanzania, wana endelea kutoma salamu za kwa jamaa na familia ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, aliyefariki dunia Alhamisi wiki hii.
-
Taarifa ya Habari 27 Februari 2024
27/02/2024 Duração: 19minAsilimia 90 au zaidi ya waajiri katika sekta za madini, umeme, maji, huduma za taka, fedha na bima, wana pengo la malipo linalo wapendelea wanaume.
-
Shakilah" lengo letu si kutenganisha familia, ila nikufanya ziwe imara"
27/02/2024 Duração: 24minShirika la Rotary Safe Families hutoa taarifa zaku saidia kuzuia unyanyasaji kupitia miongozo iliyo tafsiriwa pamoja na filamu.
-
Taarifa ya Habari 26 Februari 2024
26/02/2024 Duração: 06minVikwazo vyakifedha vya mtindo wa Magnitsky pamoja na marufuku yakusafiri, yametolewa dhidi ya maafisa saba wa gereza ambao serikali ya Australia ina amini, walishiriki katika unyanyasaji wa
-
Sergent "Kiptum's death is painful and still haunts us"
23/02/2024 Duração: 18minThe family of the late marathon world record holder Kelvin Kiptum and members of the Kenyan community have gathered in his rural village to give him his final send off.
-
Prof Chacha "Tunastahili ongeza juhudi kukutanisha Rwanda na DRC ili tupate suluhu ya amani"
23/02/2024 Duração: 06minMaelfu ya raia wanao ishi katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, wanahangaika kutokana na upungufu mkubwa wa chakula ndani ya maduka na masoko ya eneo hilo.
-
Sergent "Kiptum alikuwa mtu mpole na mcheshi sana"
23/02/2024 Duração: 15minHabari za kifo cha mshindi wa rekodi ya dunia ya mbio za marathon za wanaume, Kelvin Kiptum katika ajali ya barabarani, zilitikisa dunia nzima siku chache zilizo pita.
-
Tresor "Lugha ya mama inatusaidia kuendeleza mila yetu"
23/02/2024 Duração: 05minShirika la Umoja wa Mataifa limekuwa liki adhimisha siku ya kimataifa ya lugha ya mama 21 Februari tangu 1999.
-
Taarifa ya Habari 23 Februari 2024
23/02/2024 Duração: 18minMuda wastan unao hitajika kuokoa asilimia 20 ya hela zaku nunua nyumba ume pungua.
-
Immaculate "Tuki poteza lugha tuta poteza utamaduni wetu "
23/02/2024 Duração: 06minShirika la Umoja wa Mataifa limekuwa liki adhimisha siku ya kimataifa ya lugha ya mama 21 Februari tangu 1999.
-
Taarifa ya Habari 22 Februari 2024
22/02/2024 Duração: 07minUhaba wa ushindani sokoni waifanya serikali ya shirikisho izindue uchunguzi wa swala hilo.
-
Ushonaji wa jumuiya zawa Australia wa Kwanza una umuhimu gani kitamaduni
21/02/2024 Duração: 11minMoja ya mifano ngumu zaidi na ya kisasa ya teknolojia ya Jumuiya zawa Australia wa kwanza na tamaduni, huonekana kupitia kushuka.
-
Taarifa ya Habari 20 Februari 2024
20/02/2024 Duração: 19minWaziri Mkuu Anthony Albanese anamshtumu kiongozi wa upinzani wa shirikizo Peter Dutton, kwa kuwahamasisha wasafirishaji haramu wa watu.
-
Wanafunzi walengwa kuwa wasafirishaji wa pesa na wanakabiliwa na madhara makubwa
20/02/2024 Duração: 09minKuna onyo mpya kuhusu matangazo yakufanyia kazi nyumbani, ambayo yanaonekana kuvutia sana au yanayo ahidi maokoto makubwa kwa uwekezaji.
-
Taarifa ya Habari 19 Februari 2024
19/02/2024 Duração: 06minWaziri wa mazingira Tanya Plibersek amemshtumu Peter Dutton kwa kuwasaidia wasafirishaji haramu wa watu kufanya matangazo, kwa kudai kuwa serikali ya shirikisho imeregeza hatua za usalama mpakani.
-
Taarifa ya Habari 16 Februari 2024
16/02/2024 Duração: 17minUpinzani wa shirikisho una wasiwasi kuhusu hali ya uchumi wa Australia, kiwango cha ukosefu wa ajira kikiongezeka hadi 4.1%.
-
Kuwa salama katika jua bila kujali aina ya ngozi yako
16/02/2024 Duração: 11minMiongozo ya usalama wa jua imesasishwa kwa mara ya kwanza kujumuisha ushauri kwa aina tofauti za ngozi.