Habari Rfi-ki
Maoni: Tume mpya iliyoundwa Tanzania italeta majibu ya vurugu za uchaguzi wa 2025?
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 0:09:53
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Katika makala ya Habari Rafiki leo tunaangazia hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, kuunda tume maalumu ya jinai itakayochunguza matukio ya vurugu zilizotokea wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29 mwaka uliopita, ili kubaini vitendo vilivyofanywa na kuwataja waliohusika ili waajibishwe kisheria