Habari Rfi-ki

Nini zaidi kifanyike kulinda uhuru wa vyombo vya habari na wanahabari

Informações:

Sinopse

Msikilizaji mei 3 2026 dunia iliadhimisha siku ya kimataifa ya Uhuru wa wanahabari, ripoti zikionesha ongezeko kubwa la vitendo vya ukatili na unyanyasaji dhidi ya waandishi wa habari.