Habari Rfi-ki

Mchango wa waskilizaji kuhusu taarifa za wiki ikiwemo rais wa zamani Joseph Kabila kuwekewa vikwazo

Informações:

Sinopse

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.