Wimbi La Siasa
Kenya: Je, ushirikiano wa serikali kati ya vyama vya ODM na UDA unafanikiwa ?
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 0:10:04
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Umepita mwaka mmoja tangu chama tawala nchini Kenya UDA na kile cha upinzani ODM, vilipoingia kwenye makubaliano ya kisiasa na kutaja mambo 10 kama vita dhidi ya ufisadi, kupunguza deni la taifa, ujumuishwaji ulio sawa serikalini kama baadhi ya mambo ya kushughulikia baada ya maandamano ya vijana ya mwaka 2024. Je, mwaka mmoja baadaye mambo hayo yametekelezwa kwa kiasi gani ? Tunachambua.