Wimbi La Siasa
Nini hatima ya vita vya Israel na Marekani nchini Iran ?
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 0:10:00
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Dunia inashuhudia vita katika ukanda wa Mashariki ya Kati, baada ya Marekani na Israeli kuishambulia Iran, tangu Februari 28. Rais wa Marekani Donald Trump na Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu wanataka Iran iache kutengeneza silaha za maangamizi, kuyaunga mkono makundi yenye silaha nje ya Iran na kubadilisha utawala. Kongozi wa kiroho Ayatolla Ali Khamenei, ameuawa katika vita hivyo. Nini hatima ya vita hivi ? Tunachambua.