Wimbi La Siasa

Kutekwa na kufunguliwa mashtaka kwa Maduro nchini Marekani kunamaanisha nini ?

Informações:

Sinopse

Rais Donald Trump, Januari 3, 2026, aliagiza operesheni  maalum ya wanajeshi wa  Marekani nchini Venezuela, kumteka kiongozi wa nchi hiyo Nicolas Maduro. Baada ya kitendo hicho ambacho kimelaaniwa duniani, Maduro alisafirishwa  jijini New York na kufunguliwa mashtaka ya kuongoza biashara haramu ya dawa za kulevya nchini Marekani. Tunachambua hatua hii ya rais Trump, inamaanisha nini ?