Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Matumizi ya kilimo kinachokabili mabadiliko ya tabia nchi Afrika mashariki
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 0:10:05
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Mashirika kadhaa ya kilimo pamoja na serikali ya Kenya yaliwakutanisha wadau wa kilimo—wakulima, wataalamu wa mabadiliko ya tabianchi, na watunga sera—jijini Nairobi mwezi Novemba mwaka uliopita. Mkutano huo ukilenga kuweka bayana mwelekeo wa kutumia kilimo kinachokabili mabadiliko ya tabianchi yaani climate smart agriculture ili kuongeza uzalishaji wa chakula.Hii leo katika makala mazingira leo dunia yako Kesho ,tunaangania kilimo hicho