Habari Rfi-ki
Rais wa Uturuki Recep Erdogan kuzuru Ethiopia na Somalia Mwakani
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 0:10:03
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Hujambo karibu katika makala ya Habari Rafiki ambapo wasikilizaji walizungumzia tangazo la Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Edorgan,kuwa atazuru Ethiopia na Somalia mwakani, baada ya kupatanisha mataifa hayo mawili kufuatia mzozo wa bandari ya Somaliland.