Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari 26 Januari 2024

Informações:

Sinopse

Maelfu ya watu wame jumuika katika sherehe nchini kote zaku adhimisha siku kuu ya Australia. Makundi ya watu wengi yalijumuika katika fukwe ya Bondi mjini Sydney kwa ibada ya alfajiri pamoja na sherehe ya moshi, wakati mjini Melbourne watu wali hudhuria ibada ya alfajiri ya siku ya uvamizi.