Informações:
Sinopse
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
Episódios
-
Burudani ya muziki Ijumma, tunacheza ombi lako la muziki
18/08/2023 Duração: 09minKatika Makala haya ya burudani huwa tunakupa nafasi wewe msikilizaji wetu kuchagua wimbo nasi tunakuchezea moja kwa moja kwenye redio kila siku ya Ijumma
-
Muziki Ijumaa
15/08/2023 Duração: 10minKwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda.
-
Sikiliza Burudani ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali
22/07/2023 Duração: 09minJuma hili Ali Bilali yupo kwenye usukani kukuletea Makala Muziki Ijumaa.
-
Muziki Ijumaa makala ya burudani tosha
18/07/2023 Duração: 10minJupiter Mayaka amekuandalia burudani ya kukata na shoka, ikiwa ni siku ya Kiswahili duniani akikuhimiza kuwa lugha hii adhimu itukuzwe.