Informações:
Sinopse
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
Episódios
-
Safari ya vibao vya Klasiki Kutoka Marekani hadi Afrika Mashariki na Kati
09/01/2026 Duração: 10minKaribu katika muziki Ijumaa, makala maalumu ya RFI Kiswahili inayokuletea vibao vya kukumbukwa vilivyoacha alama kubwa katika historia ya muziki wa dunia.Wiki hii tunasafiri kimuziki kutoka Marekani, kupitia Karibiani, hadi Afrika Mashariki na Afrika ya Kati, tukifurahia nyimbo zenye ujumbe wa furaha, mapenzi, imani na utu. Safari yetu inaanza nchini Marekani kwa kibao “Celebration” cha kundi la Kool & The Gang wimbo uliogeuka kuwa nembo ya sherehe duniani kote, ukiwahamasisha watu kusahau huzuni na kusherehekea maisha. Kutoka hapo tunatua Karibiani kupitia “Jamaica Farewell” wa Don Williams, wimbo wenye ladha ya country na mguso wa kisiwa, unaoelezea mapenzi, kumbukumbu na uchungu wa kuaga ardhi unayoipenda. Safari inaendelea nyumbani Afrika Mashariki kwa kibao cha Kiswahili “Mulofa wangu” cha marehemu Daudi Kabaka kutoka Kenya, wimbo wa mapenzi uliojaa hisia nzito na lugha tamu, unaothibitisha ubora wa muziki wa zamani wa Afrika Mashariki. Tunafunga safari yetu Afrika ya Kati kwa “Le Bon Samaritain” wa
-
Kenya : Muziki ndani ya rfi Kiswahili
24/12/2025 Duração: 10minKila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi ya kuchagua muziki ndani ya makala ya muziki Ijumaa. Skiza makala ya jumaa hili.
-
Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji wako asipenda makuu Billy Bilali
13/12/2025 Duração: 10minKatika Makala haya mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Juma hili.
-
-
Muziki Ijumaa ambapo tunakupa fursa kuomba muziki unaoupenda
21/02/2025 Duração: 10minKenya kipindi hiki,ungana na Victor Moturi ,ambaye atamekuandalia burudani tosha ,burudikaa
-
Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili iliondaliwa na Ali Bilali
27/12/2024 Duração: 10minAmbatana na mshika usukani Ali Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili
-
Muziki iliyoombwa na waskilizaji msimu wa maadhimisho ya Jamhuri nchini Kenya
13/12/2024 Duração: 10min -
-
Pata burudani tosha kutoka kwa wanamuziki wa kike barani Afrika
19/07/2024 Duração: 10minKwenye makala haya tunakaribisha wikendi kwa miziki mbalimbali na leo wanamuziki wa kike wanatupambia makala.
-
Mziki wa kukata na shoka ndani ya rfi kiswahili Kila Ijumaa
28/06/2024 Duração: 15minKila Ijumaa ndani ya makala Muziki Ijumaa unapata nafasi ya kuskia miziki ya tabaka mbalimbali hasa ile ambayo umeitisha wewe mskilizaji. Juma hili Bwana Wakoli anakupakulia miziki iliovuma, inayovuma na ile itakayovuma, skiza makala haya kuelewa maana ya miziki ilioenda shule na kafuzu.
-
Burudani safi ya weekendi kupitia muziki ijumaa
07/06/2024 Duração: 10minMuziki wa kizazi kipya na vibao safi vya kikale katika kusindikiza mwisho wa juma baada ya pilika nyingi za maisha
-
Muziki Ijumaa
27/04/2024 Duração: 10minKatika kipindi hiki mtangazaji wa zamu anakuchezea kibao unachokipenda kwenye redio kila siku ya Ijumaa.
-
Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda
19/04/2024 Duração: 10minFlorence Kiwuwa amekuchezea ombi lako kwenye makala ya wiki hii ya muziki Ijumaa.
-
Muziki Ijumaa ,Burudani kabambe
26/01/2024 Duração: 10minKwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda.
-
Miziki bora juma hili ndani ya Muziki Ijumaa na Florence Kiwuwa
22/12/2023 Duração: 10minKila Ijumaa unapata nafasi ya kuburundika ndani ya makala haya kwa kuomba muziki unaopenda.
-
Burudani ya Muziki na Jupiter Mayaka
18/11/2023 Duração: 10minMuziki hutoa hamasisho, elimu, burudani, husaidia kukumbuka mambo na pia huondoa msongo na kuboresha afya.
-
-
BURUDANI YA MUZIKI IJUMAA
15/09/2023 Duração: 10minWiki hii Florence Kiwuwa amekuchezea muziki uliomuomba akucheze kwenye redio
-
Muziki Ijumaa ,makala yanayokutumbuiza
11/09/2023 Duração: 10minKaribu kwenye Makala ya Muziki Ijuma. Unaweza kusikiza ombi lako la muziki hapa.
-
Burudani ya Muziki
25/08/2023 Duração: 10minWiki hii upo nae Florence Kiwuwa amekuchezea muziki bora zaidi katika juhudi za kuipamba wikendi yako.