Alfajiri - Voice Of America
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 24:59:02
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Ratiba: Monday-FridaySaa (kwa saa za huku): 06:00UTC saa ya kimataifa 0300Muda: 30Sikiliza: Podcast
Episódios
-
Chama tawala cha Comoros cha shinda kwenye uchaguzi wa bunge. - Januari 15, 2025
15/01/2025 Duração: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Utawala mpya wa Marekani wa Donald Trump waahidi kurejesha mamilioni ya wahamiaji haramu makwao. Je hilo litawezekana> - Januari 14, 2025
14/01/2025 Duração: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Ni yapi yalioyojiri kwenye jukwaa la spoti? Tunawatakia mwaka mpya wenye mafanikio. - Januari 13, 2025
13/01/2025 Duração: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Vijana watano waliokuwa wametoweka kwa wiki kadhaa nchini Kenya wameachiwa huru - Januari 07, 2025
07/01/2025 Duração: 29min -
Zelenskiy ana matumaini Donald Trump anaweza kusaidia kumaliza vita vya Ukraine - Januari 06, 2025
06/01/2025 Duração: 29min -
Maoni mseto yatolewa kufuatia uteuzi wa mawaziri wapya Kenya kutoka kwenye utawala wa zamani. - Januari 03, 2025
03/01/2025 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Kenya yarahisisha upatikanaji wa vibali vya kufanya kazi na kuishi kwa raia kutoka mataifa ya Jumuia ya Afrika Mashariki. - Januari 02, 2025
02/01/2025 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Habari kuhusu hatua zilizopigwa na Jumuia ya Afrika Mashariki mwaka wa 2024, pamoja na matarajio kwenye mwaka huu mpya. - Januari 01, 2025
01/01/2025 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Waasi wa M23 waendelea kuchukua udhibiti wa miji mashariki mwa Congo. - Desemba 31, 2024
31/12/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter afariki dunia Jumapili akiwa na umri wa miaka 100. - Desemba 30, 2024
30/12/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Kiongozi wa Al-Shabab auwawa na kundi hilo ladhibitisha - Desemba 27, 2024
27/12/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Alfajiri - Desemba 26, 2024
26/12/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Watu kadhaa washukiwa kufa kutokana na ghasia za matokeo ya uchaguzi wa Msumbiji. - Desemba 25, 2024
25/12/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Katika siku ya haki za binadamu, wanawake na wasichana waomba kukomeshwa kwa mauaji dhidi yao Kenya. - Desemba 24, 2024
24/12/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Haki ya kikatiba ya uraia wa kuzaliwa Marekani, inaleta mjadala wa kati Trump akikaribia kuingia madarakani - Desemba 23, 2024
23/12/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Ugonjwa mpya unaofanana na homo DRC wazua wasi wasi baada ya kuuwa darzeni ya watu. - Desemba 20, 2024
20/12/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini kuanza tena mjini Nairobi. - Desemba 19, 2024
19/12/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.