Siha Njema
Kwa nini kuna umuhimu wa kutumia dawa za minyoo baada ya miezi sita
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 0:09:42
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Shirika la afya duniani ,WHO hupendekeza matumizi ya dawa za minyoo kwa watoto kati ya mwaka moja hadi 12 ,vijana wenye umri kati ya 13- 19 ,wanawake walio kwenye umri wa kupata watoto na watu wanaoishi katika maeneo yenye minyoo. Hii ni njia mojawapo ya kupambana na utapiamlo, Anamia na matatizo yanayoletwa na minyoo.