Jua Haki Zako

DRC : Haki ya raia wa Goma baada ya waasi wa M23 kuwasili eneo hilo

Informações:

Sinopse

Katika makala haya tunazama kuangazia hali ya kibinadamu kule Goma baada ya waasi wa M23 kuwasili katika mji huo.Je hali ya kibinadamu ipo je baada ya waasi wa M23 kuwasili Goma. Kufahamu mengi zaidi skiza makala haya.