Jua Haki Zako

Serikali ya Uganda yapata shinikizo kumwachia kiongozi wa upinzaji Kizza Besigye

Informações:

Sinopse

Serikali ya Uganda inapata shinikizo kutoka kwa wapinzani na watetezi wa haki za binadamu kumwachia huru mwanasiasa mkongwe Kizza Besigye anayekabiliwa na mashaka katika Mahakama ya kijeshi ambaye kwa siku kadhaa sasa amegoma kula akiwa gerezani, hali ambayo imedhoofisha afya yake.Tulimuuliza msikilizaji  anazungumzia vipi masaibu yanayomkumba Besigye  na anafikiri ni kwanini inachukua muda kuihamisha kesi ya mwanasiasa huyo kutoka Mahakama ya kijeshi kwenda kwenye Mahakama za kiraia ?