Jioni - Voice Of America

Viongozi wakuu wa dunia wanakutana kwa ajili ya mkutano wa AI nchini Ufaransa kwa mazungumzo ya kidiplomasia kwenye sekta ya teknolojia. - Februari 10, 2025

Informações:

Sinopse

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.