Jukwaa La Michezo
CHAN 2024: Uwanja wa Nyayo nchini Kenya waidhinishwa na CAF kuandaa mashindano
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 0:23:47
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Tuliyokuandalia jioni hii ni pamoja na uchambuzi wa mashindano ya Mapinduzi, tetesi za uhamisho Afrika Mashariki, raundi ya tano ya mechi za klabu bingwa Afrika, maandalizi ya CHAN 2024, uhamisho wa wachezaji ulaya na mashindano ya tenisi ya Australian Open.