Nyumba Ya Sanaa

Changamoto za wanamuziki wa kizazi kipya wanaochipukia nchini Tanzania

Informações:

Sinopse

Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya wanaochipukia nchini Tanzania walalama kutakwa Kimapenzi wa Watayarishaji wa Muziki, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akiwa na Zainisha Nokolage maarufu Zainisha.