Informações:
Sinopse
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
Episódios
-
Kenya : Haki za wanawake pamoja na kina dada wanaojiuza
03/08/2024 Duração: 10minKatika makala haya tunajadili haki za kina dada pamoja na kina dada wanaojiuza. Nchini Kenya, kina dada wanaojiuza pia wanataka kutambuliwa.
-
Kenya : Haki ya wanahabari kuteleza majukumu yao bila vikwazo
27/07/2024 Duração: 09minJuma hili tunaangazia haki za wanahabari kupeperusha habari zao bila kuingiliwa na vyombo vya usalama katika mataifa yao. Shaba yetu bila shaka inalenga taifa la Kenya, nchi ambayo wanahabari wamejeruhiwa wakati wakitekeleza majukumu yao, ya kuangazia maandamano ya vijana wa Gen Z, ambao wamekuwa wakishinikiza mabadiliko nchini Kenya. Kwa siku sasa kilio cha wanahabari nchini Kenya kimekuwa ni kutaka serikali kuheshimu haki zao kwa kuwaruhusu kutekeleza wajibu wao bila vikwazo.Kufahamu mengi zaidi skiza makala haya.